Ushauri: Nawezaje kujifunza coding from scratch.?

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,

Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.

Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?

Mimi nipo kanda ya ziwa huku
 
Mambo ya msingi ni haya hapa mkuu, japo na mimi ni beginner bado.
1-Nia (Hii ndio kila kitu).
1.5-Muda (Inahitaji muda sana)
2-Ng'eng'e hapo kama hujui acha kabisa.
3-Uvumilivu (Hapa lazima uwe na moyo na usikubali kukata tamaa, kuna siku unacode ila hamna kinachokubali).
4-Bando (Hapa lazima ukaze kweli kweli, tutorial za coding nyingi sana youtube, ila ni za maGB na kudownload tools mbali mbali.)
5-Machine.(Hapo PC haikwepeki.)
NB: Coding lazima uwe na uelekeo ni kama bahari lazima ujue unaenda wapi.

safari njema mkuu, see you at the top, miamba wataongezea mengine.
 
Umemaliza mzee.. uzi ufungwe
 
Mkuu Asante unaweza kunipa sifa za pc itakayo faa kwa kutanyia jambo hili.?
 
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,

Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.

Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?

Mimi nipo kanda ya ziwa huku
Mkuu umesema huna knowledge yoyote kuhusu computer
 
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,

Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.

Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?

Mimi nipo kanda ya ziwa huku
Je!
Mambo ya coding kama yapi hayo ambayo nawewe unatamani uweze kuyafanya?
Sababu unaweza ukawa specific zaidi yaani ukachagua upande fulani wa code
 
Download hiki kitabu, nenda mwanzo hadi mwisho, tumia PC yoyote hata yenye miaka 20 inatosha, haihitaji data zaidi ya hiyo pdf.

Mkuu Asante unaweza kunipa sifa za pc itakayo faa kwa kutanyia jambo hili.?
Pc yoyote tu mkuu itafaa, kwa project za kawaida hizi huna haja ya PC za kibabe, ukitaka ku upgrade ni mbele huko, we anza na yoyote, RAM jitahidi walau iwe 4GB hilo ndo la msingi tu.
 
Coding za aina gani unaona una uelekeo nao zaidi? Hili swali ni la lazima kujiuliza kwa sababu kama sivyo utakuwa ukizunguka zunguka ukigusa hiki na kuacha, utashika language hii utaacha, utashika nyingine utaacha. Inabidi kujua unataka kucode ili uwe unatengeneza nini?

Profession za code zipo nyingi:
  • Website frontend
  • Website backend
  • Embedded systems
  • Artificial intelligence
  • Mobile development
Lakini pia field ya I.T ni pana zaidi ya coding, unaweza ukawa umeona coding lakini kuna professional zaidi ya coding,

Unaweza pia kucheki hizi kama zitakufaa:

  • System administration
  • Computer security
  • Network administrator
  • System analyst
  • Database administrator
 
Mkuu nataka ni specialize kwenye

* Website fronted
*Website backed
* Mobile development

Hizo tu.

Nianzie wapi mkuu na lugha gani itabufaa zaidi.?
 
Kwa web Frontend
1: Jifunze Html na Css kwanza
2: Then JavaScript kidogo
3: Saiv most of technologies in web zimebase kwenye Library za JavaScript so jifunze kwanza JavaScript then chagua kati ya react, vue, au angular frameworks to use for your web development activities ziko popular na zinatengeneza most of Cross cutting application (spa, ssr). Na zina ruhusu freelancing

Kwa Backend
1: Unaenza enda na Node Js
2: Au Golang
Raha ya hizo ni kwamba ukitengeneza server Yako fresh unaserve api for mobile na web ziko vizuri na zina community kubwa

Kwa Mobile

1: Flutter ( Language apa ni Dart)
2: Java

Unaweza mkuu ukizipitia take your time check video YouTube na documentation uku ukipiga side project ya chochote utakachokua ukijifunza
 
Coding za aina gani unaona una uelekeo nao zaidi? Hili swali ni la lazima kujiuliza kwa sababu kama sivyo utakuwa ukizunguka zunguka ukigusa hiki na kuacha, utashika language hii utaacha, utashika nyingine utaacha. Inabidi kujua unataka kucode ili uwe unatengeneza nini?

Profession za code zipo nyingi:
  • Website frontend
  • Website backend
  • Embedded systems
  • Artificial intelligence
  • Mobile development
Lakini pia field ya I.T ni pana zaidi ya coding, unaweza ukawa umeona coding lakini kuna professional zaidi ya coding,

Unaweza pia kucheki hizi kama zitakufaa:

  • System administration
  • Computer security
  • Network administrator
  • System analyst
  • Database administrator
Aisee
Hii posti inatakiwa iwekewe lamination halafu ibandikwe pale mwanzo wa hili jukwaa
Watu kila siku "ooh nataka kujifunza coding mara programming"
Hata hawajui ujifunze ili iweje au wanataka kufanyia nini hizo lugha wakijifunza, na haya ndio matatizo ya mfumo mzima wa elimu bongo,
 
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,

Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer.

Natamani sana nijue maswala ya code wakuu, nifanye nini niweze kujua .?

Mimi nipo kanda ya ziwa huku
Inabidi uanze from scratch.
 
Anza kujifunza hizi programming language
C#
C++
Java*
Halafu uje
HTML
N.k
*Umuombe sana Mungu,unaweza kata tamaa hapo
 
Back
Top Bottom