ushauri naomba

dada yangu hapa mie naona bora uachane nae tuu......the reason being kwamba kila leo wewe utakuwa unafanya kazi ya onyesha kuwa u not cheating na hivyo trust itakuwa issue...jambo engine kwa nini watu waendelee kukuletea usumbufu kama kweli wewe hucheat? kuna kitu ambacho wewe hutuambii hapa.

kiukweli mtu anaemwambia sijajua anampango gani na mimi...ila this time ananisingizia and aliwahi nitext kwamba atafanya kila kitu huyu bwana aniache
 
Jibu..mwambie jamaa zako afuate vitendo vyako sio radio mbao..ikitokea bahati mbaya hatokuamini huwezi lazimisha.akupende..na wala usiende kwa mganga wa kutoka Nigeria..ni bahati mbaya na majuto ni mjukuu..
 
bbyb mbona pole kwenye mahusiaano kuna mashetan hawapendi kuona watu wapo hap hiv nini hiki u just tell the man kama kuna kitu umefanya au kunamazingira unayaa create try 2 avoid mpenz
 
wewe naona hujatulia hata ningekuwa mimi nisingekuamini tena mbona ulimfanyia kitu cha ajabu hivyo ulikuwa unatafuta nini huko?
 
Back
Top Bottom