Beautifull lady
Member
- Nov 18, 2016
- 47
- 27
Wewe dini gani? Unaishi wapi? Utaanza kurejesha lini mkopo?Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe.
Nilikua naomba michango yenu ya mawazo proper investment ambayo naweza wekeza ili nitakapoanza kukatwa mlolongo wa makato kama mwanafunzi wa marekani..kuanzia loan board,paye,nssf,hako kamkopo ..nibaki na stress kwa mawazo kipindi kinachobaki
Natanguliza shukrani za dhati maana katika miaka yangu mitano ya uanachama jamiiforum haijawahi niangusha