USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

iL Buono
wazo zuri sana ,ila kuna haya maswali nijbu, 1.wafanyakazi unatoa kiasi gani na kiasi gani? 2.logistic ya usafirishaji wa maziwa from zizini to sokoni (utunzaji,ubora wa bidhaa na usambazaji?) 3. swala la ukame na upatkanaji wa majani, 4. gharama za utabibu wa mifugo against na madaktari hadimu na eneo walipo mifugo?
 
Mkuu this whole thing is a process.. na lazma unahitajika utaalam.. there is no easy task.. kwamfano vijana wa kazi unaeza ukawapata pale livestock training institue Mpwapwa... kuhusu chakula you should be proactive.. kupita kwenye Mashamba yalokauka na kununua those leftovers... na kuzistore for everyday use... washauri wa mambo ya mifugo wapo wakutosha tu... kwenye Maduka ya madawa ya mifugo.. pia unaeza ukatafuta daktari mmoja wa mifugo ukapanga nae ratiba atleast twice a month awe anapita kuwajulia hali mifugo yako... na wakati wa yote hayo u will also be learning the whole process...
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Storage unaeza ukajinunulia mafriji yako... kuhusu soko hilo wala halina shaka... hasa kama umeajiriwa... unaeza ukatangaza biashara yako hapo eneo la kazi.. na itakua vizuri ikiwa ofisi mmekodi katika jengo lenye ofc nyingi.. unatengeza client list yako ambayo kila asubuhi ukija kazn u supply them na litre tatu tatu ili kila mmoja apate... Amini maneno yangu..ukitua tu ofcn mzigo kwisha... ww jioni ukirudi u fill in ur gallons for next mornings order... kaka... umaskini bye bye....
 
Mkuu this whole thing is a process.. na lazma unahitajika utaalam.. there is no easy task.. kwamfano vijana wa kazi unaeza ukawapata pale livestock training institue Mpwapwa... kuhusu chakula you should be proactive.. kupita kwenye Mashamba yalokauka na kununua those leftovers... na kuzistore for everyday use... washauri wa mambo ya mifugo wapo wakutosha tu... kwenye Maduka ya madawa ya mifugo.. pia unaeza ukatafuta daktari mmoja wa mifugo ukapanga nae ratiba atleast twice a month awe anapita kuwajulia hali mifugo yako... na wakati wa yote hayo u will also be learning the whole process...
We ni mfugaji? kumbuka ni kijana muajiriwa, hana shamba hata akipata shamba hajajenga banda la kisasa kwa ajili ya kutunza maligafi na watu na ulinz wa eneo hlo, toa cases mfano upo dsm
 
iL Buono
wazo zuri sana ,ila kuna haya maswali nijbu, 1.wafanyakazi unatoa kiasi gani na kiasi gani? 2.logistic ya usafirishaji wa maziwa from zizini to sokoni (utunzaji,ubora wa bidhaa na usambazaji?) 3. swala la ukame na upatkanaji wa majani, 4. gharama za utabibu wa mifugo against na madaktari hadimu na eneo walipo mifugo?
pia ushauri mwengine ndugu yangu... uzuri wa biashara hii kutokana na capitol ndogo ya muomba ushauri... he should do this the orthodox way... maziwa ahifadhi kwenye mageleni ya litre 5 5, yakiwa na baridi kali... saa 2 asubuhi unatua ofcn kila mmoja unampa geleni lake... halafu afanye collections zake at the end of the day... akirudi achukue pesa yake... kaka ngombe ukimtunza ni utajiri.. kwa sababu hafi leo wala kesho.. kila akizaa ww unavuna tu... dogo hilo? ukipata fursa soma about fresians na jersey cows... pia msome ngombe wa marhem fidel Castro anaitwa Ubre Blanca... alikua anatoa litre 110 kwa siku... si umaskini kwaheri?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mkulima na mfanyabiashara wa mazao, upo hapo? watu lazima wale hata kama kuna ugumu wa maisha wa namna gani, mazao faida yake ni ndogo lakini yanatoka sana na hayana changamoto nyingi zaidi ya kulipa ushuru wa halmashauri husika basi, biashara zingine TRA, TFDA, Zimamoto, Umeme, Mlinzi, leseni nk. Ok we ndiyo mwenye maamuzi mkuu.
[/QUOTE]
Umetoa hoja
i hear you bro will definatelly look into it....[/QUOTE]
 
zitupe kwenye ujenzi ndio rahisi kusimamia biashara kama huwezi simamia mwenyewe hesabu maumivi
utanipinga ila utakuja kunikumbuka

ningekuwa mi ni mtumishi ningedili na nyumba za kupanga na biashara ya viwanja tu!!! haina stress wala haiitaji kuajiri wafanyakazi
 
Na amni wewe utakuwa umesoma vizur kama umesoma vizuri utakuwa na upeo wa akili vizur .

Ushauri kama ni mkazi wa Dar es salaam nenda kanunue shamba kama hekari moja na nusu au mbili maeneo ya Bunju anzisha ka bustani cha mboga mboga mfano nyanya ,mchicha nk utatengeneza hela nzuri na utakuwa huja poteza hela hata kama biashara ikikushinda unayo plot
hebu nisaidie viwanja bunju bei gani na wapi???
 
Kama kweli unania ya kufanya investiment soko la hisa DSE limeporomoka ni bora ununue hisa sasa ivi kwani bei ya hisa imeshuka.DSE halitasuka miaka yote siku likipanda ukiuza hatifungani zako unakua mtu mwingine.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tenga 5m, ununue Hisa, pale DSE, tena nunua za hiyo kampuni yao ya DSE hisa zai zinapanda haraka, kisha iliyobaki tafuta Kiwanja cha mil 3, then Mil 12 jenga nyumba yenye mfumo Wa kupangisha, visipungue vyumba kumi na kuendelea. Still baada ya muda utakuwa uko pazuri na Kodi yako uchukue kila mwezi kama mbadala Wa mshahara.
 
ndo nnachofanya kiongozi...lakini wanasema uoga wako ndio umasikini wako..nmeweka kwenye hili gropu na kujaribu kuchambua chuya na mchele...Pesa bado sijachukua ila nna uwezo hata mda huu labda nkuulize weye mkuu "KAMA UMEPATA LEO MILLION 20 UTAIFANYIA NN"

Yapo zaidi ya mambo 1000 ya kufanyia kazi fedha hizo na zitazalisha.Ushauri ni bidhaa kubwa haipaswi kutolewa bure tena hadharani maana tumeukimbia ujamaa na kuuvamia ubepari.Nitakudokeza tu.Kabla hujaamua cha kufanya jiulize unachotaka kukifanya upo tayari kukisimamia na kukitetea? je unahitaji mtaji wako ukurudie baada ya muda gani? unatarajia upate faida ya kiasi gani? Unataka uzalishe fedha hizo kwa kuishi mjini tu au hata vijijini.Unataka ufanye shughuli zako Tanzania tu au hata nje ya Tanzania.
Baada ya majibu ya maswali haya utakuwa na uwezo wa kuamua ufanye nini,lini na wapi kwa mafanukia.
 
nmeread between the line and will work on it
 
Back
Top Bottom