Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Lithuania inapakana na Poland na poland inapakana na Ujerumani,Isitoshe Poland ipo Muungano wa Ulaya.
Toka hapo mbele kwambele .

Au pale Estonia anachukua ferry Tallin to Helsinki , ni kama dar to zenj.
Ndio maana wa naigeria wanasema hyo ndio simple way ya kuingia nchi zenye asali sema visa kwa Tanzania wanatolea Egypt, south Africa, India na turkey au uende sengen countries ndio uombe visa mm naona bora uende Egypt au Athens.
 
Mkuu, bongo mtu anakubania bila kisa bila sababu, yaani hapendi tu kuona unafanikiwa, si bora kungekuwa na jambo akikubania wewe anapata yeye, hamna, anakubania akijua hunufaiki chochote. Wapo vijana wengi sana wamekwama kwa kubaniwa kwa staili kama hiyo.

Unakuta mtu amepata admission, wakati wakuomba scholarship unatakiwa upate barua ya employer kuthibitisha amekubali uende ukalr nondo, hr gani kwa bongo atakuandikia hiyo barua? Huipati miaka 200.

Mm najiandikia mwenyewe employer statement, logo ya kampuni ninayo, contacts naweka zangu mwenyewe (nina namba kama nne hivi, huku nakuwekea voda hapa nakuwekea airtel). Michakato inaenda. Ukizubaa tu bongo umeliwa. Majitu yana roho mbaya kama kitugani sijui
Kwahyo kwa sasa upo wapi?km ulifanikiwa kuondoka uliishi vipi wakati hukuwa na mtu unayemjua?
Na je mtu km mimi nahitaji msaada wa namna hiyo utanisaidiaje?Asante
 
Mkuu nimekufuatilia una akili nzuri sana aise bila kujiongeza bongo hakuna utakachopata.
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Kwahyo kwa sasa upo wapi?km ulifanikiwa kuondoka uliishi vipi wakati hukuwa na mtu unayemjua?
Na je mtu km mimi nahitaji msaada wa namna hiyo utanisaidiaje?Asante
Nipo hapahapa bongo bado nifight. Haya mambo yalinicost kuweka wazi kwa hr na mabosi wangu, unajua mtu mwingine akiona hata admission tu anakuona bonge la mtu na anawaza huyu jamaa akifanikiwa kutoka akirudi sina changu, mwanangu ilinisumbua sana.

Ndio nikaona nifanye ishuzangu kwa kificho siku likitiki nasanuka mazima.

Lakini pia kuna kitu kingine, nilikazania sana kutafuta nafasi za kwenda kusoma uk or usa. Na huko kupata scholarship ni mbinde kwani watu ni wengi sana wanaoomba na competition ni kubwa sana, ukichanganya na zengwe la wizara ya elimu ndio kabisa hutoboi labda uwe mtoto wakishua.

Nimebadili mbinu kufukuzia nafasi kwa nchi za Scandinavia na vinchi vingine vidogo. Kumbuka wadau wameshaliongelea sana hili lakutokea nchi ndogo kama unataka kwenda mbele huko.

Numepata admission University of Twente, Netherlands. Nasubiria maamuzi ya scholarship za WB/JJ.

Pambana mkuu
 
Siwezi mkuu home is the best basi tu hizi shida mkuu

dah! issue ya visa pale ubalozi sio mchezo.., jiandae kifedha upande wa visa application na pia kisaikolojia, kukataliwa visa ndio kukubwa kuliko kupewa hasa kwa vijana. visa zinazotoka bila shida ni aged people kama mama yake huyo aliyekualika. nakutakia mafanikio mema.
 
Inategemea na atakavyo handle interview mkuu... Kitu kikubwa cha kuzingatia ni kuwaonesha mazingira ya kwamba utarudi.
 
Wizara ni agent wa scholarahip za nchi nyingi na baadhi ya mashirika. Ukimaliza kufanya online application wanakutaka uprint form zako na baadhi ya docs uzipeleke wizarani. Pale wanafanya nomination. Jamaa wakimaliza mchujo wao huko wanakujulisha kuwa umepita awamu hiyo au umekwama. Kama umepita wanakutaarifu hatua inayofuata. Mara nyingi watu wanakwama hapo hatua ya nomination kutoka waizara yetu pendwa inayolea vilaza
kuna mtu alipata kusema afrika kazi yetu ni kumshusha mwerevu awe mjinga,nakumbuka nane nane mwaka fulani eastern zone morogoro,kuna ofisi ya serikali ilikua na banda pale, sasa walikua wana miradi ya kilimo kama maonesho pale cha ajabu aliepo pale ni secretary wa ile ofisi hawezi hata kujibu maswali ya kawaida wakati kuna wataalam ambao wange facilitate professionally

poor tanzania
 
hahahaha,mbwai mbwai
Mkuu, bongo mtu anakubania bila kisa bila sababu, yaani hapendi tu kuona unafanikiwa, si bora kungekuwa na jambo akikubania wewe anapata yeye, hamna, anakubania akijua hunufaiki chochote. Wapo vijana wengi sana wamekwama kwa kubaniwa kwa staili kama hiyo.

Unakuta mtu amepata admission, wakati wakuomba scholarship unatakiwa upate barua ya employer kuthibitisha amekubali uende ukalr nondo, hr gani kwa bongo atakuandikia hiyo barua? Huipati miaka 200.

Mm najiandikia mwenyewe employer statement, logo ya kampuni ninayo, contacts naweka zangu mwenyewe (nina namba kama nne hivi, huku nakuwekea voda hapa nakuwekea airtel). Michakato inaenda. Ukizubaa tu bongo umeliwa. Majitu yana roho mbaya kama kitugani sijui
 
Bongo unaweza kufanikiwa ila kwa mbinde sana, walio fanikiwa wakiwa hapa hapa bongo hawapo tayari kukupa njia walizo tumia kufika hapo walipo! hata wakikupa watakupa njia ndefu sana ambayo mwisho wake uta fail tu!

Ubinafsi, uchoyo roho mbaya! Ukitaka kuamini wabongo wana roho mbaya jiulize kwanini wanao kuja nje ya nchi wanatoboa kuliko walio zaliwa hapa

Nimetoka nchi ya bara la Asia nchi ambayo ni maskini ila serikali yake imeshikilia hela! Mzee kajilipua kuja bongo ila sina hamu ya kurudi hom na kubaki moja kwa moja! hapa hapa bongo zipo fursa kibao ila sema wa kukushtua ili uzifikie ndiyo majanga
 
nilianza purukushani za kwenda USA, UNIVERSITY OF WASHINGTON, nilimeet criteria zote hadi bank statement (ya kukodi) tayari nilikua nayo mkononi walitaka NATIONAL ID kama huna pass,nikawapa, ishu ikaja mitihani yao ya kiingereza hicho tu kikanikwamisha

mitihani miwili TOEFL na GRE hapo inakutoka 1.3M nakufeli kupo kwenye hiyo mitihani nikatulia.

saivi sitaki kusikia kitu kwenda kusoma, elimu nimeiweka kapuni niikitegemea kunitajirisha NITAUMIA. mnaotaka scholarships mjue kuna mitihani ya kiingereza uwe nanyo kwanza tena upate 6.5 out of 9

nasaka kwenda nje kama mtu asie na elimu, kama itatumika, itatumika nje nikifika

Nilichagua nchi ya Luxermburg, ila Malta naona inanivutia sababu ya kiingereza najua nikifanikiwa 6months inatosha kujua lugha tu competent level

mkuu IZZO kama unajua agents niunge nae
 
Mkuu hata nchi za Nordic English sio ishu kama utaingia kwa mlango wao.
 
mkuu ubaya hizo nchi zinatumia lugha zao hata kwenye websites zao za chuo, changamoto ndipo zinapokuja, but saiv kusoma NIPUMZIKE KWANZA IMETOSHA ZAID YA KUA MASKINI TU, WATUMISHI WA UMMA HUMU KILA SIKU WANALALAMIKA,
Si lazima ukasome.... Unaweza kwenda tafuta maisha mkuu.
 
ni mara yangu ya kwanza kuona mtanzania anatoa njia kwa wenzake kwenda nje...watanzania wengi n wabnafs wakishafankiwa wao hawatak wenzao wafankiwe
Sana mkuu... But tunajitahidi kuamshana kama wenzetu Wanaija na Wakenya!!
 
Mkuu Tokyo40 tumekusaka sana na Richard mdau wetu kwema? Karibu sana mkuu

Asante kwa hiyo link hopeful wadau wataiona..... Unaweza kutoa hints nyingine....
 
Back
Top Bottom