Ushauri kwa Watanzania tununue madish ya chanel za bure

Kiboko ya zote ni receiver inaitwa HAWK 7777,Hiyo na DSTV ni mtu na mama yake.inatumia line ya simu(simcard)unachomeka ndani yake.weka airtime ya buku utaangalia dstv miezi2.KAMA UNAZITAKA PIGA 0784206080.Inatumia dish moja na frq za dstv.

ngoja nikupigie
 
leo nimesearch dish yang ya fut 6. kwenye intelsat ya 906 64.5degree east nimepata channel zang kumi na moja free kabixa so sina haja ya kuchakachuliwa na mabepari wa ving'amuzi receiver yang ni media com
 
hayo madish yapo mengi sana karibu mikoa yote mpaka kwetu kibosho,marangu,mwika rombo,same,mwanga,bomang'ombe,hata mimi natumia tena tangu mwaka 2006 bado natesa nalo,ukitaka kuona chanel nyingi zaidi unatafuta fundi mzuri anakuwekea kifaa kingine cha kukuwezesha kuona chanel nyingi zaidi, ATL Africa,kuna KBC,UBC ni sawa na bureeeeeeee kuliko hao wanotuzingua na ving'amuzi vyao feki,
Siku mkiacha kununua ving'amuzi wahindi wanazungumza na viongozi na kesho yake utasikia wanapiga marufuku nyungo zenu kwa kisingizio kwamba hawawezi kufanya sensorship! Haya subirini muje muone! Tanzania ni kama muijuavyo!
 
Nina wasiwasi wabenzi wa TCRA wenye biashara zao za ving'amuzi watakuwa wanahangaika kupata appropriate jammers za satellite signal kabla biashara zao hazijadoda!!!
 
leo nimesearch dish yang ya fut 6. kwenye intelsat ya 906 64.5degree east nimepata channel zang kumi na moja free kabixa so sina haja ya kuchakachuliwa na mabepari wa ving'amuzi receiver yang ni media com
mkuu unapata pia chnl za kweny KU ya intelsat 10? Na je SIGNAL YA CHNLS ZA BONGO HAZIJASHUKA? na je Itv unapatahorizontal au vertical?
 
chanel zipi hizo 11?
tutajie tukuombe frequnce, na ni mkoa gan unaishi?
 
mkuu unapata pia chnl za kweny KU ya intelsat 10? Na je SIGNAL YA CHNLS ZA BONGO HAZIJASHUKA? na je Itv unapatahorizontal au vertical?

sijafunga ku band ila signal ya hz za kibongo iko poua itv naipata ktka horizontal position
 
dishi ni mwanzo mwisho,nakamata channel 102, nimefunga lnb 2, na k.u 2. Yaani hadi raha.nyie wa kulipia endeleeni tu,maaana kuna chanel kibao za fta nimeona zuku na star times wanawauzia wadanganyika,kazi kwenu.

Asante mkuu kwa taarifa saaafi !!
Dish lako ni size gani?
Dish lako umelielekeza direction gani ? (uko mkoa gani ? maana direction zinategemea mahali mtu alipo).
 
Ushauri mzuri kwa watu wenye kuhitaji channels za kawaida tu, kwa maana sasa watu wanalia kununua ving'amuzi na kuvilipia elfu kumi kila mwezi, wengine hilo ndy pango la chumba kwa mwezi!!...Lakini kwa wenye kuhitaji channels za kulipia kama sisi wagonjwa wa Discovery na National Geographic, au wale walevi wa Kandada la Ulaya inalazimika kuendelea kunyonywa na DSTV au Startimes na jamaa zake Zuku, japo mimi niko na mpango wa kukimbilia Dubai One, hao kidogo wako kijamaa zaidi!

Hapo kwenye blue, hebu nifafanulie zaidi, hao ndio jamaa gani ??
Wanapatikana wapi, na channels zao zikoje ??
 
Back
Top Bottom