Ushauri kwa Watanzania tununue madish ya chanel za bure

Natumia dish limewekewa LNB na KU, receiver strong, napata channel za ndani na za nje
 
Haya madishi ni mazuri sana ila ttz lake channel ziko nyingi sana ila nyingi hazieleweki kama vile channel za Msumbiji ambazo nyingi au karib zote hutumia Kireno, na haipiti miezi mitatu bila kumwita fundi aje afanye settings na gharama zake ni elfu thelathini, sasa ukipiga hesabu ni yaleyale mara mia uchukue decoder ya Azam ukifunga umefunga channel karibia zote zinaeleweka na zipo clear na bei yake ni 12,500 tu.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Kwa sasa huitaji kununua decoda na tv unless budget ---- imebana. Au kama tayari una tv sawa ila kama huna nashauri ununue tv za samsung LED zina inbuilt decoda na unapata free channels zote za hapa ndani kwa maana ya local channels na pia za nje kwa maana ya free channels pia. Na zote hizi ni bure ula lazima iwe na antena tu basi mi napata zaid ya channel 130 cnn bbc voa tv france tv citizen ubc clouds itv star tbc cctv etc

Madish yanausumbufu wa kila kukicha unatafuta fundi for settings and configurations.
 
mkuu nashindwa kujua hizi screen zenye king'amuzi ndani kinakuwa cha kampuni ipi sasa na malipo ya kila mwezi utalipia wapi;ni hilo tu
 
pia utapata channels za nje zaidi ya 40 ikiwamo TB Joshua, Al Jazeera, Muvi TV, Nollywood Plus, CTL Africa na nyingine nyingi kibao za Ulaya na Asia.
I couldn't care less about TB Joshua channel, or Nollywood Plus or Nollywood Negative or CTL Africa.... what the heck is CTL Africa anyway?
 
kwa uelewa wangu mimi,unataka kuona nn ndicho kitatanabaisha ununue dish aina gani,kwa mfano dish za wavu(mesh dishes) huwa zimetengenezwa kwa matumizi ya c band lnb,japo hata ku band inaweza kufanya kazi ila siyo kwa kiwango kizuri sana,solid ish(dish za bati)zinauwezo wa kutumia c & ku band vizuri kabisaa,na channels ku scratch kuna mambo kadhaa yanaweza kusababisha,kwanza inaweza kuwa lnbs zilizowekwa uwezo wake wa kufanya kazi umepungua,setup ya dish,azmuth na elevation angle hazijakaa vizuri,coaxial cable c nzuri,au lnbs zenyewe hazijafungwa vizuri,yapo mengi japo hayo ni machache,
 
Isolokobwe:

SAMSUNG pekee ndo wana inbuilt decoda na uikiishainunua hulipii chochote kupata free channels ndo maama nimetumia neno FREE CHANELLS
 
Sio samsung pekee mkuu ... Most of digital tv zna hyo kitu.... Sio flat plaZma za singsung ila watu kama hitach , sony, panasonic wana hio hio option
 
Unaye sema kwamba unatumia dish bure unapotosha uma.hamna cha bure mwenye campuni alipie setelite angani halafu wewe "uangalie bureeee miaka yote" kwani wewe ni mtoto wake au we ni mke wake??over.
 
Kwa sasa huitaji kununua decoda na tv unless budget ---- imebana. Au kama tayari una tv sawa ila kama huna nashauri ununue tv za samsung LED zina inbuilt decoda na unapata free channels zote za hapa ndani kwa maana ya local channels na pia za nje kwa maana ya free channels pia. Na zote hizi ni bure ula lazima iwe na antena tu basi mi napata zaid ya channel 130 cnn bbc voa tv france tv citizen ubc clouds itv star tbc cctv etc

Madish yanausumbufu wa kila kukicha unatafuta fundi for settings and configurations.

Bei zake zikoje mkuu??
 
Unaye sema kwamba unatumia dish bure unapotosha uma.hamna cha bure mwenye campuni alipie setelite angani halafu wewe "uangalie bureeee miaka yote" kwani wewe ni mtoto wake au we ni mke wake??over.

mkuuu acha ubishi bana au usiongee usicho kijua wajua nn maana ya FTA Chanel??

kuna Chanel NYINGI sana za FTA ambazo ni bureee KBS Sema kama hujui taratibu ungeuliza ungejuzwa.
nakumbuka mm wakati nipo mkoani tulikuwa na decoder ya media com strong pamoja na ungo MKUBWA umefungwa LNB pamoja na KU band tulikuwa tunapata Chanel kibaoo kama 300 hiv hiyo ilikuwa ni free no kulipia.
mbona humu kuna Uzi unazingumzia sana juu ya FTA ??
 
Hebu nitajie channel moja tu ya wanyama ambayo nitaipata kwa kununua dish la bure mkuu!
 
Tatizo la madish ya FTA mara channel zinapotea mara zinahama.Kwa mfano TBC1 imepungua nguvu sana katika satellite ya intelsat 906 ili kuipata inabidi uwe na dish kubwa sana.
 
Ukichukua dish la contineto ukachukua na king'amuzi cha Pakistan utaona local Chanel na dstv
 
Back
Top Bottom