Ushauri kwa waliopata mkopo

Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.

hzo koz zngne hawa vijana cjui huwa wanawaza wakiwa wamelewa,sa wkt anaiomba hakuifanyia research kujua ka nzur au la?

Vipi bch f art in comunty econ0mic devlpmnt inasoko?

hzo koz zngne hawa vijana cjui huwa wanawaza wakiwa wamelewa,sa wkt anaiomba hakuifanyia research kujua ka nzur au la?

Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.
wasiwasi wako tu, kuna mtu amemaliza B.Com lakini mpaka leo yupo mtaani. Hakuna facult bora kuliko nyingine. Lengo langu nikimaliza napiga diploma ya utalii... Then nitakuwa na chance kubwa.

Nipo Archeology sio History
Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.

hzo koz zngne hawa vijana cjui huwa wanawaza wakiwa wamelewa,sa wkt anaiomba hakuifanyia research kujua ka nzur au la?
mimi nina malengo yangu katika hiyo Archeology.

Nashangaa kuona mtu anasema Archeology hailipi...huyo anayesema hivyo hajasoma. Hii East Africa ndio eneo kubwa duniani ambapo Archeological plans zimepangwa kuanzishwa kwa kuwa tuna masalia mengi. Watu wanafikiria biashara na siasa tu. Nyie nendeni tutaonana mbele ndio mtaniambia niliwaambia ukweli. Kwa mlio chaguliwa msibabaishwe...unaweza ukapata kazi vizur tu haijalishi upo facult gani cha msingi pata cheti chenye Points nzuri. Mbona kuna watu wapo mtaani wanatafuta kazi mpaka leo na wakati walisoma course tunazozisifia. All the best kwa ndugu zangu mliochaguliwa.

Hiyo kozi ni full mashaka ,kuna jamaa aliisoma ilikuwa ngumu kupata kazi akaenda masters akawa anafundisha ,nakushauri utafute kozi valuable zaidi.
ushauri mzuri kaka..yeye mwenyewe anatakiwa afikirie akisoma histori ataenda kuajiriwa wapi zaidi ya shuleni?

we hawa achana nao ela zote hizo wanawapeleka kina mwajuma...yameingilia kushoto yametokea kulia

Back
Top Bottom