Same thing.Hapo hakuna diploma unayoweza kusoma
Ni sharti usome astashahada almaarufu cheti then uunge diploma
Okay....kama uko interested na mifugo kasome Animal health and production unaanzia cheti miaka 2 then diploma 1 unarudi kitaa unaweza ukajiajiri au ukaajiriwa zingatia hii course itakutoa.Mwanamme
ChaiCertificate ya pharmacy
Ulisoma kitambo sana, Siku hizi wanataka D 5 za sayansi PCBM ikiwemo na Language.Kwann usisome clinical medicine kwa hayo matokeo itakuwa uwanja mkubwa wa kuajiriwa na kujiajir hapo badae
Nina B ya Kiswahili na F ya Hesabu.Unapataje Kiswahili D?!!!
Nenda veta katafute ujuzi maana Bado hujui unataka nini wewe unamfuata upepo unakoelekeaHabari wapendwa,
Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma?
KISW - D
ENG - C
GEO - D
CIV - D
CHEMI - D
PHY - F
BIO - C
MATH - F
RELIGION - C
Pharmacy hawataki ufaulu wa physics ni d mbili za ch na blChai