Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Nashauri TCU na NACTE wafanye haya:-
Warudishi mfumo wa mwanzo wa kudahili wanafunzi muda wowote kwa vyuo, kama ilivyo Open University of Tanzania na Jomo kenyatta University lakini udahili upitie TCU au NACTE hata kama ni mwezi wa 2 n.k.
Kuna tatizo mfano diploma wa OUT waliomaliza mwaka huu wameshindwa kuendelea na degree sababu transcript hazijatoka mpaka wafanye graduation ambapo ni mwezi wa 11, wananyima haki za watu na mwisho watu wanaichukia serikali kumbe ni watendaji ndiyo wana mwangusha Mhe Rais.
Sioni tatizo kudahili muda wowote kama ilivyokuwa zamani lakini masharti yazingatiwe kulingana na taratibu za TCU au NACTE. Pia najiuliza sasa TCU na NACTE watakuwa na kazi gani mpaka mwakani tena?
Tubadilike jamani.