What the hell is "vivid reasons"?
Maana yake ni vivid reasons.........
Lakini si umeelewa NN? Changia
What the hell is "vivid reasons"?
I'm saying it again: Kijana wa kiume kuoa mwanamke ambaye tayari alishazaa na mwanamume mwingine ni kuingia kwenye matatizo yasiyo ya lazima! Mwanaume lazima ufurahie uzao wako wa KWANZA! Kama una miaka 29 bado una nafasi kubwa ya kuingia "labor ward" kumuangalia "mwanamke wako" ambaye hajawahi kuingia mahala hapo.
Does that guarantee good marriage life? Future?
Kama anampenda kwa dhati, suala ya yeye kuwa mjane sio ishu. Kuna wanawake kibao wanaolewa kwa mara ya kwanza na ni magumashi tu! sasa ishu hapa sio yeye aliwahi kuolewa kabla, ishu ni kuwa kwa sababu alishawahi kuelewa kabla hafai kuolewa tena? Tena 'bahati nzuri' alifiwa na mumewe, je angekuwa ameachika ingekuwaje? kama umemdondokea, maliza kazi na mengine yatajulikana mbele ya safari.
Nifikirivyo na nijuavyo mimi ni Mwanandoa aliyefunga ndoa kihalali na kwa bahati mbaya akampoteza mwenzi wake wa maisha kwa kifo ila yeye yu hai na anaishi:confused2: ndiyo mjane
What the hell is "vivid reasons"?
"Vivid reasons" in an other word is Strong reasons. GOT IT?
Nope....what's the definition of vivid?
1.strikingly bright or intense, as color, light, etc.: a vivid green.
2.full of life; lively; animated: a vivid personality.
3.presenting the appearance, freshness, spirit, etc., of life; realistic: a vivid account.
4. strong, distinct, or clearly perceptible: a vivid recollection.
5. forming distinct and striking mental images: a vivid imagination.
So based on the above definitions it is fair to say that vivid does not collocate with "reasons". Case closed.
The Finest:
Pole-pole:
Hakuna kitu kigumu kama kuwa "Baba wa Kambo"!
If thats what you think so.
hapana Baba Enock hakuna mtu aliye katika "sympathetic mode" ni majadiliano ya kawaida tu mimi naona kila binadamu ana haki ya kuoa na kuolewa ni sawa na wewe leo kwa mfano mkeo hakakutoka kimwili ina maana utakaa kuoa kwa kuwa tu ulishatumika na kuzaa na m/mke mwingine nadhani jibu ni hapanaAll:
I'm out of here - naona wengine mna-post mkiwa kwenye "sympathetic mode"!
nimeipata imenifariji sana senksiFunzadune nimekugongea senks moja, hapo vp poa sio?
hapana Baba Enock hakuna mtu aliye katika "sympathetic mode" ni majadiliano ya kawaida tu mimi naona kila binadamu ana haki ya kuoa na kuolewa ni sawa na wewe leo kwa mfano mkeo hakakutoka kimwili ina maana utakaa kuoa kwa kuwa tu ulishatumika na kuzaa na m/mke mwingine nadhani jibu ni hapana
Mungu ana malengo mengi tu kwa m/damu ndio maana amemwonyesha huyo mdada njia ya kuondokana na majonzi na ukiwa wa kufiwa na mme wake katika umri mdogo kwa kumpatia huyo kijana, ni wengi tu ktk jamii wanaoa wanawake ambao tayari wameshazaa wala sio kitu kigeni ktk maisha haswa nchi za nje wenye ndoa za mikataba cha muhimu ni kukubaliana na hiyo hali na kuendelea na maisha
yule dada tayari amefiwa na mumewe kwa bahati mbaya sasa tusije kugeuza kama mkosi kwake kwa kutoolewa tena. Hata dini zote zinaruhusu mjane au m/ume aliyefiwa na mkewe kufunga ndoa nyingine
nategemea "thanks" kwa post hii.............nawasilisha
Baba Enock point of correction, hakuna kitu kama baba/mama wa kambo. Tafakari vizuri hii dhana utaona kuwa hakuna kitu kama hicho. Ni mazoea tu ya kutumia maneno kulingana na makuziThe Finest:
Pole-pole:
Hakuna kitu kigumu kama kuwa "Baba wa Kambo"!