Ushauri kwa Jeshi la Polisi: Maandamano yakiwa marefu waandaa maandamano waratibu uwepo gari la wagonjwa (ambulance)

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,218
4,631
Ushauri Kwa jeshi la polisi maandamano kama njia ndefu sana wawaambie waandaa maandamano kuwe na Ambulance ya wagonjwa nyuma kabla kuidhinisha

Mfano ni Jana maandamano ya Chadema Ile njia ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi posta yaliyoongozwa na Tundu Lissu Kuna sehemu Tundu Lissu alifikia akiwa kapoteza Hadi pumzi ikabidi maandamano yasimame apandishwe gari ingine akiwa anahema na pumzi ikiwa inakata na kuiona Hadi kofia nzito alikuwa kavaa kwa kweli Hali haikuwa nzuri alitakiwa kupelekwa kwenye ambulance

Kwa njia fupi sio lazima ila njia ndefu waandaa maandamano walihakikishie jeshi kuwa Ambulance gari za wagonjwa watakuwa nazo
 
Ni wazo na angalizo zuri na muhimu sana hilo

Coz unamuona jamaa kwa sura mzima kabisa, kumbe ni mgonjwa wa pumzi, ni hatari sana....

Kuongezea kidogo, ama ruti ya maandramano ni ndefu bas watu wawe wameshakula chakula makwao waje wameshiba au kuwe na vituo watu wale chakula na kunywa maji kidogo na kisha waendelee na maandramano.
Jana ilikua inatia huruma aise. Chakula na maji viwe bure.

Watu wasipoteze maisha kwa homa ya maandramano, njaa au uvhovu. Ni muhimu kuhukua tahadhari mapema.
 
Uko sahihi kabisa
 
Ushauri Kwa jeshi la polisi maandamano kama njia ndefu sana wawaambie waandaa maandamano kuwe na Ambulance ya wagonjwa nyuma kabla kuidhinisha

Mfano ni Jana maandamano ya Chadema Ile njia ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi posta yaliyoongozwa na Tundu Lissu Kuna sehemu Tundu Lissu alifikia akiwa kapoteza Hadi pumzi ikabidi maandamano yasimame apandishwe gari ingine akiwa anahema na pumzi ikiwa inakata na kuiona Hadi kofia nzito alikuwa kwa kweli Hali sio nzuri alitakiwa kupeleka kwenye ambulance

Kwa njia fupi sio lazima ila njia ndefu waandaa maandamano walihakikishie jeshi kuwa Ambulance gari za wagonjwa watakuwa nazo
Unadhani polisi wanabeba mabomu na risasi bila kuandaa ambyulesi!
 
Hizo Huwa kukiwa na operation za kipolisi kuwa polisi waweza jeruhiwa hata jeshi Huwa nazo Wakienda hata vitani lakini ni Kwa ajili Yao hasa sio raia na mambo Yao ya kiraia kama maandamano Yao ya siasa nk
 
Unadhani polisi wanabeba mabomu na risasi bila kuandaa ambyulesi!
muandaa maandramano ni sharti aandae huduma ya kwanza kwajili ya waandamanaji wake wanaopatashida au wanaokwama kwasababu mbalimbali mathalan kuugua gafla, uchofu, njaa, kiu, kuumia na mambo mengine yanayofanana na hayo....

walinda usalama wana maandalizi yao mathalan wanayo ambulance yao kwajili wa polisi watakao pata shida ya afya au kuumia wakiwa kazini....

Lakini pia waletafujo kwenye maandamano wakileta fujo mathalan kupigana na kuumizana na huenda kipigo cha polisi kikamuathiri zaid muandamanaji bas ambulance ya police inaweza kutumika kumkimbiza hospital muathirika Lakini sio lazima 🐒
 
Kwahiyo ukianguka ambyulansi ya polisi inakupita tu! Polisi hutakiwa kuujulisha Msalaba Mwekundu kuhusu mikusanyiko yoyote ile hata kama ni ya shari au ya kheri.
 
polisi ni kwaajili ya usalama pekeee,
watu wa huduma ya kwanza inatakiwa kuandaliwa na muaandaa maandramano bab na ni jukumu la kitaalamu la taasisi nyingine kabsaaaa
 
Polisi ndiyo wanatakiwa kutoa gari kama wanavyofanya kwenye maandamano ya CCM
Police wanakua na karandinga kwajili ya manunda wanaoleta fujo kwenye maandamano, wanakuchakaza vizur sana kwa virungu, wanakutupia kwa karandinga au difenda direct to hospital then unakwenda kulala ndraaaaaani sero na ngeu zako 🐒
 
Ushauri Kwa jeshi la polisi maandamano kama njia ndefu sana wawaambie waandaa maandamano kuwe na Ambulance ya wagonjwa nyuma kabla kuidhinisha

Mfano ni Jana maandamano ya Chadema Ile njia ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi posta yaliyoongozwa na Tundu Lissu Kuna sehemu Tundu Lissu alifikia akiwa kapoteza Hadi pumzi ikabidi maandamano yasimame apandishwe gari ingine akiwa anahema na pumzi ikiwa inakata na kuiona Hadi kofia nzito alikuwa kwa kweli Hali sio nzuri alitakiwa kupeleka kwenye ambulance

Kwa njia fupi sio lazima ila njia ndefu waandaa maandamano walihakikishie jeshi kuwa Ambulance gari za wagonjwa watakuwa nazo
Kwa nini walimpanga njia ndefu, au nia kumkomoa
 
Back
Top Bottom