Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

Ukihitaji mwanmke aliyekamilika kila idara utachelewa sana.. Kuwa muwazi, tafta njia nzuri ya kumueleza.. Kama huna uwezo wa kumueleza kimahaba akabadilika, mbadilishe tabia kijanja.. Kama vile mnapotaka kulala wote, jidai unaenda kuoga nae piga mswak nae apige as mahaba niue, mzoeshe kutafna big g.. Kila ukionan nae jidai unapenda big g na hio ni zawad nzur unayoona inamfaa, kama anakupenda kweli mdogo mdogo atabalika
 
Tatizo la harufu kwenye kinywa wala hata sidhani kama linasababishwa na kupiga mswaki. Vitu vingine vinatokana na vyakula watu wanavotumia. Embu kwanza uwe unamshauri anakunywa maji sana kwa wingi. Mi naamini tumbo likishakaa vizuri mle ndani maharufu ya ajabu ajabu yanakuwaga hamna na moja ya njia ni mtu kunywa maji na kula matunda matunda na aache kula mavitu artificial...

Akishazingatia kwenye kula na ulaji wa matunda na kunywa maji.. hapo sasa aongezee kwenye kupiga mswaki. Tena hata haina haja ya kutumia colgate. Mwambie atumie chumvi kwa upande wangu ni zaidi hata ya colgate maana chumvi inaleta hali fulani hivi ambayo inakuwa ngumu kwa bacteria kuishi kwenye kinywa halafu chumvi ni natural sio artificial kwa hiyo hata haina artificial chemicals.

Halafu mi sishauri tabia ya kula ma big G tena nadhani hiyo inaongeza tatizo la kutoa harufu kwenye kinywa.

Huu ushauri hata kwa mwingine anayehisi huwa anatoa harufu mdomoni anaweza kuujaribu.
 
Mtafutie vinager awe anakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi kabla ya kula wala kupiga mswaki na usiku dakika 45 baada ya kula chakula cha usiku. Ale vyakula vyenye vitamini na virutubishi vyote muhimu hasa mboga za majani mbichimbichi zilizopitishwa kwenye joto kwa wingi na matunda fresh. Anywe maji mengi muda wote na Apunguze vyakula vya wanga na sukari na apige mswaki kila baada ya mlo na kabla ya kulala.
 
Duuu ASA post kama hiyo ndugu yangu jaribu kuitatua kistaarabu ikiwezekana achana nae wanawake wapo wengi kuliko wanaume
 
Daaaahh mshkaji jaribu kujielewa kwanza kwamba no one perfect except God, muhim ni kukaa chini na kusolve problem ya mpenzi wako bila ya kuja huku............... . .....
 
Mada nyingine bana ni kuchosha tu wana JF.unashindwaje kudeal na hili kwa haa kumuonyesha kwa ww kupiga mswaki kabla hamjaanza kulana madudu yenu au kuna hizi fluid za kusukutua ambazi ni more effective kuliko hata miswaki na zimejaa tele kwa pharmacies
 
Umeshindwa kumpigisha mswaki kweli mpaka unakuja kuomba msaada huku, hivi wavulana wa siku hizi mbona mko hivyo? ,
 
Nunua mswaki na Colgate umsaidie kusafisha kinywa, pia wakati wa kumgegeda nunua zile big G za kuondoa harufu kunywani sawa? Iwe mwisho kuja na post za aina hii sawa??

Mkuu neno sawa umelitumia kwa msisitizo mkubwa, mpaka nahisi nawewe unanuka mdomo.!!!!???
 
Habari wandugu,

Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi. Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho nabidi nimgegede. Kumbuka huyu mwanamke anamtoto na ni single mother.

Nifupishe tu huyu mwanamke ni mrembo lakini tatizo lake tu ni kwamba ananuka mdomo na huwezi hata kula denda nae ile hali yeye wakati wa kuduu mbwebwe nyingi mara ulimi anataka kukuingizia mdomoni yani ni tabu tu kweli napata kinyaa na hata hisia zinapotea wakati nipo nashughulika.

Tatizo la mdomo kumbuka ni nini chanzo?

Ushauri wakuu.
BAD BREATH:
People of South America , first thing in the morning, gargle with one teaspoon of honey and cinnamon powder mixed in hot water, so their breath stays fresh throughout the day.

BAD BREATH.jpg
 
Back
Top Bottom