Ushauri kuhusu Subaru Forestar

View attachment 176452Sasa hii ni miongoni mwa nyumba zangu ambayo ipo maeneo ya sakina arusha ,sikai anakaa mlinzi nilikuwa nimeifanyia ukarabati kwa minajiri ya kuiuza lakini nimeghairi Poleni wapinga madevelop yangu, mwisho nawauliza who am i? Jibu.....

FALA LA JF.jpg
 
Umesema kuwa wewe unamiliki v8,sasa kama unaweza kumiliki v8 ambalo linagugumia mafuta utashindwaje kumpa mke wako hiyo subaru,mnunulie hilo gari hayo mengine yatajisoma yenyewe.
 
mbwembe zako tupa kule. ila tambua subaru is a racing edition. gari ya wajanja hiyo kaka. wese, spare nenda pale zizzou mpango mzima. inawezekana mkeo kakuzidi ujanja.
 
Ushauri kuhusu subaru?
Au kuhusu kunyimwa unyumba...
Au kuhusu v8....
Au ....au....
 
View attachment 176084

Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.

Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.

Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.

Utakuwa mhaya
 
Linakula mafuta ?. wala usipate taabu njoo nalo hapa maryland mwenge ulinunulie supu au mtori. maana mafuta nasikia ni mabaya. kuhusu unyumba njoo meeda pub au afrika sana mida ya jioni. usisahau kuja na v8 ,mahana guest ni gharama mitaa hii.
 
View attachment 176084

jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.

tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya tanzania.

Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota rav4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka subaru forestar turbo sti ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.

mkuu unamiliki nyumba nne, una miliki v8....mkeo umemnunulia rav4.....lakini bado unaumizwa kichwa na mafuta ya subaru kiasi kwamba umekuja kuomba ushauri jf.....!!! Amazing
 
View attachment 176084

Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.

Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.

Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.
Story nzuri, nimeipenda. Hongera sana kaka mkubwa.
 
Back
Top Bottom