apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Habari za mchana, Nina tabia ya kugugumia Maji lita moja na nusu kwa mkupuo na Hapo nakuwa nimemaliza hadi wakati wa Kulala ndio nakunywa tenants. Je Tabia hii ya kugugumia kiasi hicho cha Maji ni sahihi kiafya? Kama Si sahihi itaniletea madhara yapi? Asante