Hatari ya unywaji maji kupitia kiasi.

thanks again and have you

JF-Expert Member
May 11, 2023
230
423
Wakati wengi tukiamini maji ndiyo kinywaji pekee kinachoweza kutumiwa na binadamu kwa kiwango chochote bila kuwa na madhara ,kitaalamu hii ni.tofauti
Mtaalamu "sadick sizya" anasema endapo maji yatakua mengi zaidi ya yanayohitajika mwilini,binadamu anakuwa hatarini kupata sumu inayosababisha kupungua kwa madini muhimu mwilini,ikiwemo sodium.

"Huwa tunahamasishana kunywa maji kwa wingi bila kujari kipimo.inaweza kutokea mtu anamuona mwenzake anakunywa maji zaidi ya lita tano kwa diku na yeye akanywa kiwango hicho bila kujua Kama mwili wake unaruhusu au la,Nasema hivi kwa sababu Kila kitu kina kiasi na hata Kama maji ni uhai na muhimu kwa afya ya wanadamu ,lazima yatumike kwa kiwango kulingana na uwiano wa uzito na urefu wa mtu kwa maana BMI ,ili ujue kiasi gani sahihi Cha maji unywe ni lazima ushauriwe na mtaalamu alisema Dk sizya

Anasema ili kuondoa katika hatari kwa mtu wa kawaida asiye mwanamichezo au anayefanya kazi ngumu ,anatakiwa anywe lita tatu kwa siku.
 
Hawa wataalamu wanatuchanganya Kuna mwingine bingwa was magonjwa ya moyo alisema ni hatari kunywa , aji kupita kiasi wakati mtaalamu mwingine bingwa was Figo akashauri tunywe maji kwa wingi tuepuke magonjwa ya Figo
 
Sawa tufanye nini?
Kunywa safari za moto
IMG_20230615_120130.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kazi ngumu ni pamoja na sex, ukifanya sex kwa masaa 6 au siku nzima au siku 7 mfululizo, maji mengi unatakiwa kunywa.. Watu wanafikiria kazi ngumu ni kubeba zege au kulima shamba kwa mkono, hata sex ni kazi ngumu, yatakiwa kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom