Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
1,008
2,002
Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita.

Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele?

Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2.

Asante.
 
Achana na kurudia mtihani, achana na kusoma Diploma. Piga FOUNDATION PROGRAMME ya THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, mwaka mmoja (kwa miezi 8) then DEGREE kiulaiiiniiii.
Kama utakwama sehemu nione mkuu.
 
Sawa sawa. Asante sana ntafatilia hili kujua zaidi
 
Achana na kurudia mtihani, achana na kusoma Diploma. Piga FOUNDATION PROGRAMME ya THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, mwaka mmoja (kwa miezi 8) then DEGREE kiulaiiiniiii.
Kama utakwama sehemu nione mkuu.
Naomba niongeze swali mkuu,FOUNDATION PROGRAMME anafanya mtu mwenye certificate ya A level au hata aliyeishia O level na hakuwahi kusoma A level
 
Back
Top Bottom