Ulimhola ilumbuye? Nicholage kupmhabari zenu wana JF naombeni ushauri, mimi ni bint wa miaka 24 mzaliwa wa shinyanga ila kwa sasa naishi arusha, naombeni ushauri maisha yamekua magum nilikuja arusha kutafuta kazi kutokana na hali ngum niliyokuwepo nayo nyumbani, nilipofika nikapata bahati nikapata kazi banana investment nimefanya kazi kama mwaka mmoja hv, badae tukapunguzwa, nimetafuta kazi mapaka nimechoka jamn nimepanga chumba kodi imeisha nifanyeje nawaza kurudi nyumban lakini kila nimwambia mama narudi nyumban sukari na presha vinapanda sijui nifanyeje guys naombeni ushauri dunia chungu, usiku usingizi sipati nalala saa 9 naombeni ushauri ndugu zangu