Ushauri: Hataki tutumie kondom

Yaani nimesoma kila neno...nikisubiri kuwa labda kitu kimepwaya yaani umekuta bwawa kumbe hola...
 
Toa ujinga cheza na pesa usichezee afya kuwa baba huruma. Kama anakupenda atakujari kapime afya kwanza toa utoto
 
Ulikosea!! Baada Ya Kugundua Mambo Ya Ugonjwa Wa Baba A'ke.. Ungekausha Na Kujifanya Aujui Kitu..Alafu Muda Ulioendelea Kufukunyua, Ungeutumia Kuhakikisha Mnapima!! Basi Kwa Sasa Potezea Kusex Nae Kwanza Endelea Nae Kma Mwanzo Bila Sex Ukivuta Siku Kwan Huwa Ipo Siku Inagundulika Bila Kumfosi Ww, Mfano Inaweza Tokea Siku Akaugua Ghfla, Hospital Katika Kumtibu Wanaweza Mpima Ikagundulika!! Inshrt Aiwez Jificha Sanaaaa Kma Upo Nae Close Au Ukishindwa Mwambie Ukwel Kuwa Unahitaj Mkapime.
 
Mmmmh! mambo mengine kupeana lawama baada aje na uzi atutaje tumemshauri vibayaa.....ila mi naona apige kavu tu ukimwi upo lakini hauui
at a mi naona ale kavu tu apate utamu mwenyewe maana anackia fununu lkn haelewi
 
Ni kweli mkuu lakini ikitokea anao si nitaukwaa? Mkuu kiukweli sipendi hilo litokee!
Unauwezo wa kusex nae bila condom na usiambukizwe(kama atakuwa infected) mchawi hapo ni maandilizi ya tendo!!! By the way hapo nakushauri mkapime....jitoe tu mhanga!!! Utakua huru sana kama mkipima
 
Badala ya kuhangaikia shule ili ufaulu wewe umekazania kungonoka tu. Acha huo upuuzi utakufa siku si zako. Kwa elimu yako ya form 6, sijui college whatever inatosha kukuambia yafaa ujiangalie sana. Nakushauri kabla hujafanya makosa zaidi you better convince her that both you and her MUST do a medical check up for HIV and other related STDs.
 
We unasoma kweli ngoja baba ako atoke kazin atakapokuja kupumzika jamvin atakupa ushauli wa jinsi ya kumdyudyulisha hyo cardiatritian wako
 
Yaani hili nali linalohusianisha moja kwa moja na usalama wako unataka watu wakushauri dogo....!!!!
Hawa watoto wa miaka ya tisini wanashida kichwani sio bure kabisa......

Siku mtu atakuja hapa akisema mchumba ake katanua miguu ataomba ushauri kuwa aingize au asiingize.....

Bado sijapata picha kuwa taifa la kesho litakuwaje....
 
mbu na udogo wake anaua watu milioni mbili na laki saba kwa mwaka, tembo na ukubwa wake anaua watu kumi na tan ko kwa mwaka, so ogopa vitu vidogo kama k
 
"

"mdogo wangu, dalili za ngoma unazifahamu sawasawa? kupata ukimwi si rahisi kama wengi wanavodhani make sure unamtayarisha vizr uke ulowe kabisa ili kuzuia ugumu utakao chubua uuume wako na kufanya Bloody contact yenu kuambatana na kuwa kitu kimoja kwenda kwa mwingine.. any way ukiwa baharia usiogope maji.. kula tu swahiba"
haya kasema mwanamke mwenyewe ni bikra sasa hapo atazuia vipi msuguano???
 
Dogo bikra haitusuliwi kwa ndomu!
Huwezi, basi waachie wenye maujuzi yao wamuingize ukubwani huyo kimwana!
 
"msomi gani ujui kuna vipimo vya nyumbani na unaweza mpima hata mtu bila yeye kusanuka au bado unamfumo ule wa kupanga foleni angaza?
 
Usimuogope kijana mweleze ww ndo mgonjwa umshaur mkapime kujua afya zenu ni bora zaid kuliko ndoto zako kufifia kabla yakufikia lengo
 
kama hujabadili vichache katika hili bandiko basi Huyo Msichana jina lake linaanzia na Herufu M...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom