Ushauri; EX lover wake anamjia ndotoni

Colgate

Member
Dec 30, 2010
16
1
Kuna rafiki yangu mmoja mwanamume, anakisa kimoja.
"kwa muda mrefu amekuwa akimuota anasema anamjia ndotoni mara kwa mara"
wakati mwingine halali kabisa, na uhusiano na mkewe umeanza kuyumba, ila anaogopa kumuambia.
anadai ndoto kuwa wakati mwingine anaota kuwa wanaishi pamoja huyo ex wake".
nimeshindwa kumshauri.
 
ebana da mazee huwezi kukuta watu halafu ukawapita bila kuwasalimu halafu ukataka msaada sio kiafrika kaka
karibu lakini
 
mi nhisi suala la kuota x wako lipo kwa kila mmoja wetu japo labda itakuwa si woote,,, sidhani kama ndoto itakuwa ndio sababu ya ugomvi na kuyumba kwa ndoa yake,,,, ila tuu awe muangalifu na ndoa yake kwani wangapi wameachana na maxboyfirend ama gf... na wameolewa wako kwenye ndoa kama kawaida,,, aache kujiendekeza na ndoto,, hilo ndio muhimu,,
 
ndio za wajinga hizo,ukishaamua kuachana na mtu achana nae kimoja sio mara namuota,oh anafanya nini,nikiwa mkeo ukinihadithia hadithi ya ex wako nakata pumbu
 
Wakati huyo jamaa yako anaachana na huyo mwanamke alikuwa bado anampenda na mpaka sasa bado yupo mawazoni mwake ndio maana haachi kumuota kila mara.
Cha kufanya ni awe wazi kwa mkewe ili ndoa yao iweze kudumu maana inawezekana siku moja akawa anaota na kumtaja jina na mkewe kusikia,pia azidishe mapenzi kwa mkewe na wawe na muda mwingi pamoja natumai tatizo lake litaisha.
 
huyo anampenda na yupo kwenye akili yake huwezi kuota jitu ambalo halipo mawazoni mwako especial mpenzi kama alishachapa lapa na iwe ivo utamuotea wapi anataka kutuyeyusha tu hapa kakumbuka mahunjumati ya enzi sasa ooh ananijia ndotoni wapi ushaona au huyu mpenzi ni mganga wa kienyeji
 
Chakufanya hapo ni huyo bwana aelekeze upendo wake wote kwa mkewe na aache kumfikiria huyo x.
 
Tanganyika parkers wanatibu hii maneno. Kuna wanajeshi hatari pale. Mwambie aende pale wamkatie hii maneno. Akishuka Kawe aulizie bonde la kukata maneno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom