Ushauri: Engene ya Toyota Allion (1NZ) inatetemeka ukiwasha aircondition

hangakwee

Member
May 2, 2016
96
54
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa
 
Haya magari umiza kichwa..langu linatatetemeka kwenye low speed, pack au likiwa idle, pale kwenye mataa au unaposimama kwenye foleni. Kero tupu
 
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa

Njoo noj tech tabata magengen opp na crdb bank 0653887495
 
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa

ANGALIA ENGINE (injini) MAUTING ITAKUWA IMEKATIKA . zile raba zinazobeba injin
 
Nishawahi kuwa na gari yenye tatizo km hilo mafundi walijaribu wapi mwingine akaniambia exhaust pipe inagusa body tubadirishe ,ila km Bahati wakati wa service fundi akawa ameipeleka shimo la service akagundua Mounting za injini na gia box sio tukabadili,sijawahi kuisikia ikivuma tena.
 
Zilikugharimu bei gani mpe mwongozo muhanga na kwa faida ya wengine.
 
Ilikuwa zamani kidogo siwezi kukumbuka exactly Ilikuwa kiasi gani kipindi kile na ile gari sinayo tena, ila nilimsikia fundi wangu aki negotiate na mteja wake 2 zinauzwa150,000/= alikuwa na Altezza
 
Ndugu zangu nimatumaini yangu wote niwazima, nina Toyota Allion ambayo in a ratio lakutetemeka pindi ukiwasha a/c.
Nilijaribu kupeleka kwa mafundi wakaniambia nibadilishe compressor na condensor nilifanya hivyo ila hakukuwa na mabadiliko yoyote.
Naomba kama kuna fundi au mtu yeyote mwenye ushauri anisaidie maana nateswa nalo sanaaa
Rotation huwa inasoma ngap wakat inatetemeka? Kwa engine ya 1Nz kama ukiwasha A/C rotation inakuwa chin ya 1 kuna uwezekano mkuwa gar limefanyiwa modifications kwny Air intake Pipe au imeshushwa silence kwa njia isiyosahihi
 
Mitetemeko mingi husababishwa na Engine mounting rubber...pia kuna mengi kama Plug zimechoka, pia exhaust pipe system kama haipumulishi vizuri engine.., kuna belt pia ikiwa loose au tight yaani imekakamaa, also compressor ya a/c ikiwa imechoka bearings zake
 
Rotation huwa inasoma ngap wakat inatetemeka? Kwa engine ya 1Nz kama ukiwasha A/C rotation inakuwa chin ya 1 kuna uwezekano mkuwa gar limefanyiwa modifications kwny Air intake Pipe au imeshushwa silence kwa njia isiyosahihi
Asante
Nikweli kuna fundi aliwahi kuniambia juu ya system ya hewa,
Sasa naomba kujua kama kuna fundi mtaalam ambae anaweza kynisaidia kwa gharama kidogoo.
 
Back
Top Bottom