- Thread starter
- #121
CCM inajifia, mrithi mwenye kuaminika ni CDM, sasa hata ushauri mzuri kwann usipokelewe?Nimekusoma vizuri sana. Ndio maana nashangaa kwa nini unapoteza muda kuishauri CHADEMA? Una fungamano gani huko?
Jus’ move on; and keep moving - with the party, CCM.
Pia, usinivunjie Heshima kunihusisha na chama kilichoiba uchaguzi wote 2020.