Asulo JF-Expert Member Jun 25, 2012 719 251 Aug 20, 2012 #7 Huyo naye ati amevaa sarawili!!! Si bora angevua abaki tu na hilo t-shirt yake !!!!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Aug 20, 2012 #8 Mwe! Vijana tukiwaambia waokoke wamkubali Yesu kristo kama Bwana na mwokozi wanagoma...ona sasa!
W Wajad JF-Expert Member Jul 20, 2012 1,321 604 Aug 21, 2012 #9 Jamaa ana kajimzigo huku nyuma! Au ndo anatangaza biashara nn?
kbosho JF-Expert Member Jun 4, 2012 13,029 6,559 Aug 22, 2012 #13 wamekosea uyo ana harisha...mwangalie mara mbl