Pale uwezo wako wa kufikiri unapofika mwisho ndipo uwezo wako wa ndani unapotoa suluhisho anza leo kujifunza ufaidike

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,857
Binadamu anauwezo mkubwa sana wenye maamuzi, hasa pale unapoona kuna magumu unayoyapitia na kadiri unavyo chakata akili yako kipi ufanye ndipo unapozidi kufunga milango ya uwezo wako wa ndani kutoa majibu.

Inashangaza sana binadamu anapopatwa na tatizo muda mwingi anatumia kuwaza nini afanye na kujilaumu, tambua unapofanya hivyo, unajichimbia shimo na mwisho wa siku utajikuta umechukua maamuz magumu ya kujiaua, unapopatwa na shida yoyote iwe ngumu au rahisi wewe.

Chukulia simpo, yaani penda kupuuzia, mambo na sio kukaa kuwaza muda mwing suala hilo hilo hapo huwez kufungua ile milango ya misaada iliyopo ndani yako.

Maana hakuna jambo litalokuja kwako kwa kukustukiza kila jambo limepangiliwa kwenye ulimwengu wako wa ndan ya nafs yako ila ubongo na hisia za fikra zako ndizo zinachelewesha kupata.

Suluhisho la tatizo lako, nini kifanyike kwa wale ambao wanataka kuboresha uwezo wao wa ndani ila upate majibu kwa haraka, fanya hivi pale unapopatwa na tatizo lolote penda kulipuuzia na fikiria mambo mengine
 
Mada nzuri sana sema natamani kama uijazie jazie nyama ili tujue exactly what to do shida inapokuja.
Ikiwezekana tupe mifano halisi kabisa iliyokutokea wewe, step by step.

Mfano umesingiziwa umebaka, ukakamatwa na kuwekwa ndani, je kwa somo hili uta handle vipi hilo tatizo?
 
kwa maelezo yake lolote likikupata kaa utulie kama vile hakijatokea kitu
 
Mada nzuri sana sema natamani kama uijazie jazie nyama ili tujue exactly what to do shida inapokuja.
Ikiwezekana tupe mifano halisi kabisa iliyokutokea wewe, step by step.

Mfano umesingiziwa umebaka, ukakamatwa na kuwekwa ndani, je kwa somo hili uta handle vipi hilo tatizo?
nitachokupa hapa ndicho nilichopitia, kunasiku nilikuwa kwenye situation kama hy, nilikuwa na mazoea na bint mmoja hv jiran yangu yeye anasoma form two anamazoea sana na hom kwangu, siku moja niligombana na wife, katika ugomvi ule sikutaka shali nikaenda lala banda la mashine kumbe yule bint jiran alienda kwa kidume akachelewa kurud mzee wake alipomtafuta akamkuta choon bas akampa stik nyng sana dogo kwa woga akasema nilienda chukua kitu kwa flan yot ktk kujitetea wakaja had kwangu wakamkuta wife amekaa nje kwakuwa tulikuwa na ugomv wife naye akahisi nililala na dogo akanichoma ikapigwa simu polisi na mzaz wake........endelea coment ya chn
 
Kipind hayo yanafanyika mi sina hili wala lile ghafla nakuja amshwa na wife toka nje una kesi, mimi kesi si nikajua ya wife, natoka nje nakutana na maafande saa nne hiyo usiku, wakaanza kunihoji eeh kipindi huyu jilan yako anamtafuta mwanae we ulikuwa wapi, nikajibu nilikuwa nimelala ndani,,, eeh mbona mkeo anasema huna mazoea ya kulala humu isipokuwa leo tu nikajibu, tumegombana ila ...... Sijakaa sawa wife anajibu si ukili tu kama umekosea kauli ile ikawajaza maafande na wazaz wa bint moto wakamchukua bint wakaenda mpima wakakuta katumika,,, sijui mwamba alipiga kavu hadi hapo sina cha kujitetea nikabaki nimetulia na sina wasiwasi nikapakiwa kwenye tido huyo mahabusu pamoja na bint na wazaz na maafande tukiwa njian nikamwambia bint kwann usiwe muwazi huoni kama unanitia hatian toka hapo nikakaa kimya hapo sina wasiwas wala mashaka nikafika hadi sero wakaniweka ndan lakin akili yangu inaniambia humu huwez kukaa sijui kipi kilifanyika wakanitoa usiku uleule,,so unaporuhusu utulivu ndan yako mengine huja
 
,so unaporuhusu utulivu ndan yako mengine huja
Kumbe hili sijaliona peke yako,maana muda mwingi kuna mambo yananitokea ambayo kimsingi yanatia stress ila ninapoamua kuyapuuzia na kujiuilza kimoyomoyo kwani lipi kubwa hapa ? Basi naanza kuona wepesi.

Kisa cha kwanza.
Miaka Mingi ya nyuma wakati huo nikiwa kijana mdogo ambaye nimemaliza darasa la saba(15years),siku moja nilikuwa nimekaa kwemye pool table naangalia mchezo na ulikuwa muda wa masomo ila mimi nimemaliza so nasubiri majibu.

Ghafla katika lile eneo waliingia polisi na kutukamata na kutufunganisha mashati huku na mimi nikiwemo kwamba ni miongoni mwa vijana wanaocheza kamari katika pool table lile.

Wakati huo nina miaka 15 sijawahi kwenda polisi hata siku moja,sipajui pamekaaje na nilikuwa nawaogopa sanaa polisi nikisikia vituko vyao vya kuadhibu watu.

Tukafunganishwa mashati mpaka kituoni tukavua mikanda na kuweka kila tulichokuwa nacho pale CRO.

Baada ya hapo tukaingizwa kwemye mahabusu kwa mara ya kwanza ndio nilikuwa naingia mahabusu niliwaza sana.

Ila baada ya dakika chache nikaanza kusema katika nafsi yangu kwamba hapa mimi silali,na wala hapatakuwa na jambo lolote kubwa nitatoka tu,licha ya kuwa sikujua hukumu ya kosa langu ni ioi ila nilipuuzia tukio lile na kuona ni la kawaida na litapita japokuwa nilikuwa bado mahabusu.

baada ya masaa kama matatu akatokea mmiliki wa ile pool table akazungumza na askari basi na sisi tukatoka tukapewa vitu vyetu na kesi ikaishia pale.
 
inategemea namatukio.. matukio yanayokupata huwa yana life time! yani tukio litaishi kwa muda gani.! hilo ndio tatizo!
kuna matukio ya muda mfupi lakini ni mazito na life time yake ni fupi ambayo kadri huo muda unavyokwenda ndio hali inazidi kuchafuka ukipuuzia ndio hatari zaidi!

hii kanuni yakupuuzia inafanya kazi zaidi kwenye yale matukio yenye life time kubwa ila mengine nikizaizai babu...😅

so what to do..? kuepusha hayo inatubidi tutumie ule usemi wa kinga ni bora kuliko tiba! so ni muhimu kuangalia mbele yetu natuilinde hata kabla hatujaifikia,na hata kama tukiifikia basi we have to make sure we have back up!.
 
Weka mfano wa matukio hayo
 
Chukulia simple wala usipanic ukiwa ktk shida wala usinsimulie mtu kwa huzuni just simple yni usiwaze
 
Back
Top Bottom