Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Kali sana,na wametoka chicha.Halafu bibie katoroka Kilakala SS.Hawa akina Diamond wanajifanya masharobaro siyo? Thubutu. Angalia tulivyokuwa enzi zetu!
View attachment 41493
Hawa akina Diamond wanajifanya masharobaro siyo? Thubutu. Angalia tulivyokuwa enzi zetu!
View attachment 41493
Na ukiongezea zaidi kwamba kipindi hicho hakuna ukimwi, nywele zinachomwa kwa kipande cha chungu kuwekwa kwenye moto na kupitishwa kichwani, looooh!
Fegi yenyewe haijawashwa ndio uone jamaa kweli kapinda hahaha!yees!naona fegi mdomoni
Picha ya kwanza..Wakati wa ujana wetu
Mambo ya kujirusha hayo