kikahe
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 1,350
- 282
Hii Radio inaitwa MEMORY Q
Haikuwa fashion kuivuta, ilikuwa fashion kuiweka mdomoni tu!!Fegi nayo ilikuwa fashion...
Na ukiongezea zaidi kwamba kipindi hicho hakuna ukimwi, nywele zinachomwa kwa kipande cha chungu kuwekwa kwenye moto na kupitishwa kichwani, looooh!
Asa wewe ulitaka jamaa huo mkono aweke wapi?Ile picha ya kwanza jamaa kaniudhi sana,
Huo mkono kwa nini kaweka kwenye bench wakati dada kampa ruksa 100%?