Ushamba: Simu za Gharama

simu sasa ni kila kitu
Simu
Msg
Emails
Internet..info..social networks
Saa..Alarm
Scanner
Mass storage device
Camera
Diary Planner
Mini bank
Torch
Radio
TelevisioGames gadget
Notebook
Voice recorder etc etc
Hivyo kama unaweza kuitumia vizuri ni bora kuwa nayo yenye uwezo
smartphone ndio mambo yote....
 
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.

DASA, Katika uchumi hiyo tunaita, "Goods of ostentation", yaani bidha za kujionyesha umahiri kifedha na kujitofautisha na watu wengine (wenye tujisimu twa twanga pepeta)! Lakini inakuwa taabu kwelikweli mtu anaonekana wa kawaida sana halafu anatamani na kuwa na vitu hivyo vya anasa ilihali ana mambo kibao yanamsubiri kimaisha. Hapo ndio ulofa unapopata nafasi yake. Kibinti kiko form 2 kinahongwa simu ya laki sita...! Lol
 
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.

Mkuu si ushamba ila atakaye kuwa mshamba ni yule atakaye nunua simu ya bei mbaya yenye mambo mengi na aishie kupiga na kutuma sms.
Mimi nina simu nimeinunua bei kubwa sana lakini sijutii uamuz hata kidogo maana naitumia kwa kadri inavyo takiwa. Mimi kutumia computer ni nadra sana maana napenda sana simu kwakuwa naweza enda nayo kila sehemu. Kama simu ina office nikiwa na maana microsoft woed, excel, powerpoint, pdf, zip na push email, ni sawa na computer unaweza fanya kila kitu bila kugusa laptop so ni haki na si ushamba miliki simu ya bei mbaya as long as unaitumia inavyotakiwa.
 
Hoya simu za bei kubwa zinafaida yake.
mfano:
Natumia Galaxy s2 ku upload website na kuinstall online content management system.
kufanyakazi kwenye pc kwa team view.
ipo faster kwenye internet pia na application ni faster.
in short ni zaidi ya laptop coz inaweza kuifadhiwa mfukoni.
 
Nokia n9 naipata ila ni Symbian tatizo but ni nzuri sana.

Napenda sana windows phone kama hii Lumia 800 but now nataman lumia 900 ya GB 64 coz hii ina 16GB tu.

Thanks for the update.

Mbona hyo N9 nayo ni window, may be unachanganya na N8, N8 ndo symbian mzee! Nilikuwa dukani last week na nimeihakikisha nayo ni windows, ni kali mnoooo, nataka nimpatie mtu kwa birthday yake mzee!! Si itakuwa powa eehh?
 
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo
AISEE MIMI NINAIHITAJI KWELI NAOMBA NIPE.
 
There is more a mobile phone can offer zaidi ya kupiga na kupokea simu. Hizi simu ni kompyuta kabisa kwa tulipofikia. If i can read my emails while niko mobile unaita hii ushamba? Nafikiri ni consumer choice na kama wewe ya 50 inakutosha ni wewe tu lakini mimi kwangu naona haina functinalities za kutosha kuniwezesha kufanya nachotaka kufanya. I need GPS, 3G etc
 
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.

MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.

mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.

Kuongezea mzee naweza kupokea file langu la drawing kwenye AUTOCARD! Kweli naona value ya pesa yangu, nilikua ninasimu moja wakinitumia drwngs nawaambia waconvert kwanza kwenye PDF, lkn sasa natwanga.

Hata mimi nawshauri watu kama wanishia kwenye sms, Social Hub na kupiga CM tu na internet, nunua simple CM.
 
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.

Ujajua CM zifanyavyo kaka!! huku iphone 4s kule samsung tab. 7.7, ebana maisha rahisi ile mbaya
 
Mkuu Paxman yako ni Evo 3D or Optimus 3D?

Mkuu nilikuwa na Windows mobile na now natumia Android device., U can't be serious saying that Windows mobiles are better.,
For now in this world that we are living, the best rival OS ni Android and IOS and for how things going, Android will take over soon., mark my words

NINA HII HAPA SAMSUNG I900 OMNIA
samsung i900.jpg
hii hapo ndo inatumia Microsoft Windows Mobile na kwa sasa Microsoft wameacha kutoa aina hii ya OS mie natumia Custom ROM Windows Mobile 6.5 bado napata Market Place Service.

Pia nina Nokia Lumia 800 hii hapa
Nokia_Lumia_800.jpg
Hii inatumia Microsoft Windows Phone 7.5 Mango amabayo ndo latest OS ya Microsoft na ukweli ni kwamba ni bora kuliko Samsung S2 na inaizidi iPhone 4

NATAMANI SANA NIPATE HII KITU Nokia Lumia 900.

Kuhusu Android kutake over no issues kwa hapo badae but kubali Windows Phone ni best mpaka sasa

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Windows Mobile na Windows Phone.
 
Kuongezea mzee naweza kupokea file langu la drawing kwenye AUTOCARD! Kweli naona value ya pesa yangu, nilikua ninasimu moja wakinitumia drwngs nawaambia waconvert kwanza kwenye PDF, lkn sasa natwanga.

Hata mimi nawshauri watu kama wanishia kwenye sms, Social Hub na kupiga CM tu na internet, nunua simple CM.
Bado Xbox Live mkuu... mie nimesema interest na kutojua umuhim wa SIMU ZA GHARAMA NI TATIZO
LET SAY JAMAA HANA OFFICIAL WORKS MOBILE BASI HAIKUFAI KUTUMIA MAMILIONI KUNUNUA SIMU

E BWANA SIMU NI KILA KITU HATA WAPINGE VIPI NI KUWA HAWAJAONJA RADHA YAKE TU.
 
Mi nafikiri ukweli unauma!!!, maana wote wanaotoka mapovu hapa wamenunua hayo masimu ya namna hiyo. Ndugu zanguni tusiwe washamba kiasi hicho. eti ni kwa vile ni toleo jipya basi we unaacha kufanya mambo ya mana unanunua simu, unashindwa kuwahudumia watoto wako vizuri kisa eti una mpango wa kununua simu ya bei mbaya. Mi nadhani sio poa kabisa.
 
Ukata unakusumbua tu...ukizipata utanunua vitu unavyopinga wakati huu!!!!
 
NINA HII HAPA SAMSUNG I900 OMNIA
View attachment 53028
hii hapo ndo inatumia Microsoft Windows Mobile na kwa sasa Microsoft wameacha kutoa aina hii ya OS mie natumia Custom ROM Windows Mobile 6.5 bado napata Market Place Service.

Pia nina Nokia Lumia 800 hii hapa
View attachment 53029
Hii inatumia Microsoft Windows Phone 7.5 Mango amabayo ndo latest OS ya Microsoft na ukweli ni kwamba ni bora kuliko Samsung S2 na inaizidi iPhone 4

NATAMANI SANA NIPATE HII KITU Nokia Lumia 900.

Kuhusu Android kutake over no issues kwa hapo badae but kubali Windows Phone ni best mpaka sasa

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Windows Mobile na Windows Phone.

Mkuu sasa na wewe unachekesha sana sasa ulinganishe Lumia na Monsta galaxy s 2 , Acha kabisa wewe!! google uelewe au fatilia technology. Galaxy s 2 hata iphone 4 s haifati.
 
Monsta galaxy s 2 ndo simu gan? mie najua monster ipo kwenye simu nying sana taja exactly simu ili nijue ukweli au nikueleweshe.
 
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.

MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.

mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.​

Umemaliza yote Mkuu. Ama kweli wajinga ndiyo wali wao. Mimi namwona mtoa mada ndiye mshamba wa kutupwa na ningekuwa namfahamu ningemfuata kumsomesha. Kwa ushamba wake anadhani simu kazi yake ni kutuma na kupokea msg na simu za mazungumzo tu! Ukweli ni kwamba simu ni zaidi ya anavyoifahamu. Hizo anazoziita "Simu" za Elfu 50 hata zikiwa na madoido yepi kamwe haziwezi fanya kazi zote za simu za laki tatu, nne, tano au milioni.

Back
Top Bottom