Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,642
- 6,071
Mzee Martin Shigella tunasubiri tamko la Uvccm ambao ndio mwamvuli wa Green guard.
Wapi hawa ni nani?
Wakati makamanda wa watu hawa karibu kila mkoa ni mawaziri na viongozi wengine serikalini. Unamjua kamanda wao mkuu?