kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
mahusiano yao na vyombo vya dola ni nini? Mwigulu Nchemba
Last edited by a moderator:
Baba V
Hawa kwenye facts huwa hawasogei. Uwezo ni kwenye kutunga maneno. Short living and trivial issues. Zikija facts wanakimbiza mbawa zao mithili ya Kunguru mwoga.
Sasa unaweza kuona, kwa nini akina Hyness Kiwia na Salvatory Machemli, wabunge wale walipigwa na kushambuliwa kwa mapanga na mashoka mbele ya polisi wenye silaha ambao hawakunyanyua hata mkono achilia risasi, kuwazuia wale vijana, ambao walikuwa wameandaliwa kwa ajili ya kuua kabisa!
Bila shaka unaweza pia kuunganisha dots na kuelewa kwa nini wauaji wa Msafiri Mbwambo, kiongozi wa CHADEMA aliyeuwawa kwa kuchinjwa, walivyokimbia mahakamani, wakiwa na pingu, mbele ya polisi wenye silaha, wakamnyang'anya askari silaha, wakaruka uzio, kisha wakaiacha bunduki, hadi leo hawajawahi kupatikana!
Kumbe kuna somo la 'mahusiano'! Aisee, this is deadly.
mahusiano yao na vyombo vya dola ni nini? Mwigulu Nchemba
Nyie hamna akili kabisa, afadhali hawa wanazo kidogoCcm kwa akili zao fupi wanafikiri mbaya wao ni chadema na Dr. slaa wakati wanajimaliza wenyewe kwa madudu wanayofanya.
huu ulioweka hapa ni uzushi, upotoshaji na upindishaji wa mambo, soma hapa chini habari kamili ya ugaidi wa red brigadeKwa muda mrefu sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikitoa madai mazito dhidi ya CCM kutumia kikundi cha ulinzi na usalama kiitwacho Green Guard, kufanya vitendo vya siasa chafu, ikiwemo wizi wa kura, kupiga wapinzani wao (hususan CHADEMA), kufanya fujo kwenye mikutano ya hadhara, kuteka, kutesa na hata kuua wafuasi, wapenzi, mashabiki, wanachama na viongozi wa CHADEMA, katika maeneo mbalimbali nchini.
Katika tuhuma hizo, CHADEMA mara kadhaa, kimewahi kutoa ushahidi na kusema kiko tayari kuutoa ushahidi zaidi sehemu salama kwamba; vyombo vya dola vimekuwa vikihusika kutoa mafunzo ya kijeshi kwa Green Guard, kwenye makambi ya CCM kwa nia ya kudhuru wapinzani, walengwa wakuu wakiwa ni CHADEMA!
Hapa chini ni ushahidi mwingine. Utaona katika cheti hiki, wahitimu walipewa somo la 'mahusiano ya Green Guard na vyombo vya dola'. Mahusiano yapi? Hilo somo lilitolewa na nani?
Aidha, katika ushahidi huu, ambao ni mwendelezo wa ushahidi kibao (wanaosubiri polisi na msajili wa vyama kuchukua hatua?), utaona Mkuu wa Wilaya, ambaye kinadharia anadhaniwa kuwa kiongozi wa serikali, (kivitendo sivyo, hovyo kabisa), ndiye mlezi wa makambi ya vijana wa CCM ambao wanafundishwa mbinu mbalimbali, ikiwemo kutumia silaha na kuua.
Kwa hii katiba mbovu ya sasa tuliyonayo (shukrani kwa CHADEMA kuwa custodian wa mchakato unaoendelea wa kuandika katiba mpya), DC ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, wakuu wa vyombo vya dola katika eneo au wilaya husika, wakati mwingine (au mwingi?) wanafanya kazi kwa maelekezo yake na kuripoti kwake.
Kama ilivyosemwa hapo awali, huu ni mwendelezo wa ushahidi. Kuna vyeti vimeshawekwa hapa, kuna kitabu kiliwekwa hapa, kuna picha kibao zimewekwa hapa; hadi sasa ushahidi wote ni undisputable kuwa CCM wanafundisha vijana wao mbinu za kijsehi, kwa ajili ya kuwashambulia wapinzani. Kile kitabu chao kimeeleza hivyo ukurasa wa 87.
Punde ushahidi wa mitaala inayotumika kufundisha makambi ya vijana wa CCM, mbinu za kuteka, kutesa na kuua, itawekwa hadharani.
Mathalani, kule Ulemo, Singida wakati wa uchaguzi wa Igunga, walifundishwa hata namna ya kuchoma sindano za virusi vya UKIMWI!
Pia ushahidi zaidi wa namna serikali inavyotumika ku-patron haya masuala ambayo yamechangia sana kuharibu mahusiano ya kisiasa, kijamii na kiuchumi katika nchi hii.
Kwa leo, tujadili haya....wakati tunajadili, tumuulize Amiri Jeshi Mkuu, mbona amekaa kimya kauli ya Dkt. Slaa, aliyomtaka awaambie Watanzania ile bunduki aina ya bastola, yenye uwezo wa kubeba risasi 8, namba J137, kutoka CHINA, iliingiaje nchini bila kibali, kisha ikatumika kufundisha vijana wa CCM kwenye makambi yao! Huu ni mfano mmoja tu.
Tangu kutolewa kwa kauli hiyo, mwaka jana, si Amiri Jeshi Mkuu, wala vyombo vya dola, vilivyotoa ufafanuzi wa jambo hilo la hatari. Silaha isiyokuwa na kibali, kuwa mikononi mwa vijana wa CCM. Makambini!
Wakati akina Hammy-D & co, wanakuja kila siku na maneno ya kutunga, wakirudia hoja zile zile za uongo na propaganda kwa kubadili maneno na herufi, watu wanaotaka mabadiliko na kuitakia mema nchi hii, kwa kuhakikisha CCMM inaondolewa madarakani, tuendelee kuzungumza ukweli wenye hoja zilizojaa facts kama namna hii;
Wasalaam
Nyie hamna akili kabisa, afadhali hawa wanazo kidogo
Leta ushahidi acha kutapika ujinga hapa. we don't need to investigate on what kind of useless person u are. just through your rubbish arguments is enough!!!!Red Bridgade ni kikundi ya watesaji, watekaji, wang'oa kucha na meno, wamwagia tindikali na watembea na sumu
haya mambo yamekuwa mambo, mie mtazamaji
Naona wamemtuma Lizaboni aje kujibu tuhuma
Kweli CCM ilishakufa siku nyingi, hakuna hoja ni kurudiarudia tu kila kitu.
Hakuna atakayeweza. Ameanza Lizaboni, kakimbia. Umeagizwa uje wewe, hautaweza kuharibu hii thread. Hapa hakuna propaganda na utungaji wa insha zisizo macho wala miguu. Hapa ni facts. Hoja juu ya hoja. Jibu maswali na hoja kama unaweza.
Argue, don't shout, alisema Nguli Issa Shivji bin Mariam, kwenye Intellectuals at the Hill.
Nawe na wenzako, tunakusihi, Gentlemen don't shout, sharpen your arguments.
huu ulioweka hapa ni uzushi, upotoshaji na upindishaji wa mambo, soma hapa chini habari kamili ya ugaidi wa red brigade
On this day in 1974, Italian prosecutor Mario Sossi is kidnapped by the Red Brigades. It was the first time that the left-wing terrorist group had directly struck the Italian government, marking the beginning of tensions that lasted for 10 years.
The Red Brigades were founded by college student Renato Curcio in 1969 to battle "against the imperialist state of the multinationals." At first, the fledgling organization restricted its activities to small acts of vandalism and arson. However, in 1972, they abducted business executive Idalgo Macchiarini, releasing him a short time later with a sign that said, "Hit one to educate 100. Power to the armed populace." The Red Brigades kidnapped several other executives in the years following.
The kidnapping of Mario Sossi marked the first time that the Red Brigades demanded a ransom: They insisted on the release of eight imprisoned members. After fellow prosecutor Francesco Coco agreed to the demand, Sossi was released. However, Coco reneged on the deal and infuriated the Red Brigades.
Over the next several years, the terrorist group kidnapped 26 wealthy men and women to fund their criminal enterprises, extorting as much as $2 million for one abduction. They also got revenge on Coco, killing him in 1976. That same year, 49 members were prosecuted in Turin, prompting several retaliatory shootings against government officials.
In 1978, the ante was upped even further after some of the Red Brigades' leaders were arrested. Aldo Moro, a former Italian prime minister, was kidnapped on March 16, 1978, and five bodyguards were killed in the attack. For 55 days, the terrorists made various demands while taunting Moro's family with fake death announcements. On May 9, after their demands were refused, Moro's body was found in the trunk of a red car in the middle of Rome. He had been shot 11 times in the chest. The Red Brigades killed seven more politicians in the next week, terrorizing the whole country of Italy.
Sixty-three persons ended up being charged with involvement in Moro's murder. Prospero Gallinari, the actual shooter, and 22 others were convicted and sentenced to life imprisonment. The Red Brigades were finally crushed in the early 1980s when over 400 members were jailed.