LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Ndg zangu wanaJF hakika ushabiki ni hatari kwani nimepata tetesi ya kwamba washbk wameleteana songombingo ya balaa.
2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka?Ama kweli ukubwa wa kichwa sio ukubwa wa utumbo ulioandika.
2rudi nyuma kdg Best! Ni kwmb humo haupo????? Ama cjasomeka?
Zile tetesi hakika zimekuwa ya kweli ya kuwa wa2 zaidi ya sita waswekwa ndani wakihusishwa na chanzo ya yote.anamaanisha umeandika utumbo, ki ufupi hueleweki,toa habari iliyokamilika