Usha flirt naye sana

Yani acha kbs,
Kwanza nilikua na hofu ya ajabu angekuwa makin angenistukia,
Yan mawasiliano ndio yaliishia pale sikusubutu kupokea simu yake wala kujibu msg,
Alihangaika km wiki hv nae akachoka akapotezea,
Ila alijua kuwa nilimkimbia but hakujua sababu!!!

mwenyewe alijitupiaaa kwa ajili ya kukuona wewe ukamtoroka lol

Ila kwa hii thred nimejifunza kitu
 
Yaani Canta kumbe mmesoma majuzi hivi wakati mnaenda kabisa na simu za mikononi darasani? wenzio tumemalizaga iyo makitu wakati simu za mkononi hazipo kabisa. haya niamkie tena....:A S embarassed:
Hahahahaha!
Heshima yako my Big Shem,
Ni kweli shem hii ishu ya juzi tu 2010 lol!
Polen, sie hata kwizi zile za gafla tulikua tuna google tu kwenye simu na kupata majibu,
Mpaka lekchara mwenewe analegea na sapraiz yake ya kwizi lol!
 
No sweetie...haijawahi kuorodheshwa kati ya magonjwa yake...so better find a more plausible explanation...


Darling Kaizer have I ever lied to you? mimi am thinking ODM is not himself, he has never done this and you know it....
 
dah .....acha tu........

tena na cyber sex mmeshafanya.....saana

halafu in real life wote mnajulikana kwa kupinga uzinzi....lol

Hahahahahah lol! We mtundu sana BOSS

 
Last edited by a moderator:
Hahahaha,
Mkuu ishu ya silence ndio style ya maisha yangu aisee,
Hiyo kweli inaweza haribu mpango mzima lol!
Kuna rafiki yangu ana simu yake ya mchina huwa haina silent mode,
Tulikua tukiingia lekcha anaizima na kutoa betrii kbs,
Ikabidi nimuulize kwann anatoa betrii,
Asema hiyo cm hata akiizima mtu akipiga inajiwasha yenyewe na kuanza kuiita na ivo haina silen mode ndio kbs inaharibia pozi,
Nilicheka sana!!

Yaani Canta kumbe mmesoma majuzi hivi wakati mnaenda kabisa na simu za mikononi darasani? wenzio tumemalizaga iyo makitu wakati simu za mkononi hazipo kabisa. haya niamkie tena....:A S embarassed:
Akishakuamkia mwambie na mimi niko pande hii.....:hat:
 
Tena wee ni lazima nikuone.... Jinsi nlivyokutongoza afu ukanikubalia then ukanipiga kibuti....sikubali asee....

Ati?:shock::A S embarassed::hatari::rant:

sweetie you know lakini kua he is sick in his head eeeh?

No sweetie...haijawahi kuorodheshwa kati ya magonjwa yake...so better find a more plausible explanation...

Darling Kaizer have I ever lied to you? mimi am thinking ODM is not himself, he has never done this and you know it....
Naaam,

Msifikiri nimekuja kuleta amani miongoni mwenu, nimekuja kuleta upanga.
 
Naaam,

Msifikiri nimekuja kuleta amani miongoni mwenu, nimekuja kuleta upanga.

Ili litimie lile neno la torati.....sasa 'hakuna mfupa utakaovunjwa" .....patana na mshitaki wako wakati muwapo pamoja naye njiani....ohooo
 
Best option...mwanaume niliye na mpango wa kuonana nae au ninayeona kuna umuhimu huo siwezi flirt nae...

heshima juu coz i have a purpose of getting to know him better in real life and not PM's or posts!



Nimekupata.... Almost every body is perfect katika PMs na Posts.... thou kuna vitabia hua vyaweza sip with time. But kama ulivosema kama you are serious it is better you do not flirt...... Kumsoma ni rahisi zaidi.
 
Rubuye hukuuliza jina na ukoo na ametokea wapi na wazazi wake ni nani na nani kabla ya kufunuana nguo
haya mambo ya kwenda mitaa ya home halafu unajipachika sehem eti kupoteza maboya ni mbaya sana

wacha tu mkuu!ni mdogo wake kabisa na mama yangu mdogo(mzee wangu alioa tena baada ya miaka kadhaa) so hata huyo mamaangu mdogo hakuwa mkubwa kihivyo.mi niliuliza tu jina lake na yeye akanitajia tu mawili,tena yote ya kizungu.ila kwakuwa ndo kwanza nilikuwa nimemwona,nilijali zaidi tamaa yangu tu.sema tu nilikosa zana ila yale mengine tulimaliza kabisa!

 
nimeshtuka sana mkuu as bado kidogo tu niharibu na mdogo wa mama angu mdogo niaka fulani hivi>those days nilikuwa active kwenye game na nilifika kwenye mji wanakoishi hao ndugu zangu,nikakaa nje ya home kwa siku mbili kwanza nile raha(mzee wangu ni mtu mgumu kidogo)....mawindo ya siku hiyo yalinasa kifaa cha haja na we spent some time tukiwa faragha ila sikuchakachua as sikuwa na 'dawa ya penzi'.ila tuli-fore play na kila kitu.tukapanga kuonana kesho yake.ucku nikaenda home kama ndio kwanza nimefika.watu wote wako sebuleni mgeni kaja.nimeoga na kula,kabla ya kulala mama mdogo anaagiza aitwe mtu mmoja tutambuane(alikua chumbani kwake)..........ile anatokea tunagongana macho...eti ' baba huyu nae ni mama yako mdogo japo ni mdogo kwa umri...karibu sana'...ardhi ilileta tu mgomo kufunguka inifukie ila nili-wish!!
Hivi wewe ulitaka kuharibu au uliharibu kabisa???
Pole sana aisee...
 
ya ofisi ni kazi na hapo hamna mzaa. kuhusu kuflirt huku jf ngoma bado itaendelea tuu bila tatizo lolote lile. na kama yupo ready kutoa utamu basi fresh tuu
 
mwenyewe alijitupiaaa kwa ajili ya kukuona wewe ukamtoroka lol

Ila kwa hii thred nimejifunza kitu
Kwakweli yule ilikuwa toomuch jaman,
Mie nadhan hata mkiwa hamjaonana kwenye kuchombezana bora hata muulizane hata kiutan kuwa huwa mwenzio napenda kuona mtu anaevaaje, hobi zake,anapenda kampan gani,haya mambo ya kukurupuka mtu anapigilia mpaka anaharibu matokeo yake ni kukimbiwa tu.
 
Hivi wewe ulitaka kuharibu au uliharibu kabisa???
Pole sana aisee...

we dada angu we acha tu!sikupiga show kabisa kabisa ila vyombo vya muziki tulityuni na kila kitu hadi mwenzangu aka-rehersal na wimbo mmoja kabisa!ila akili yangu ikakaa sawa kwa sekunde chache nikajisachi sina shin guard,nika-postpone zoezi mpaka kesho yake!naona aibu mno kukutana nae tena na naepuka kila uwezekano wa kukutana.yaani mpaka mama mdogo nafikiri alishtuka tulivojishtukia wakati wa utambulisho!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom