Usha flirt naye sana

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Wana Jamvi,

Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.

Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Dah utafanyaje mwana MMU?
 
Uso wa mbuzi unaendelea
Yaani muda wote hajakuambia jina lake ni nani mpaka mnapanga kukutana mnafahamiana kwa majina ya JF tuu
Akili kumkichwa hapo

Mr Rocky,

Anaweza kukutajia jina la uongo ili mkikutana akupe la ukweli hehehe. Mnakutana ndio dah aibu...
 
Wana Jamvi,

Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.

Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Dah utafanyaje mwana MMU?

hapo sasa ndipo msimamo wako unapokuwa fake mkuu itabidi uwe mjanja sana iliujinasue kwenye hilo tego..
 
dah .....acha tu........

tena na cyber sex mmeshafanya.....saana

halafu in real life wote mnajulikana kwa kupinga uzinzi....lol

hahahaha.... Tena tu the next day if you communicate you are shy over the phone na hujawahi muona... I can not imagine aibu ya face to face (Take note: speaking from assumption) :eyebrows:
 
Boss,

Kama tushagonga sex mtandao mnamuombea uhamisho ahamishiwe dept nyingine tuna swap nazungumza na boss wake. Au la mimi naanza kutafuta kazi nyingine hehehe
 
Mr Rocky,

Anaweza kukutajia jina la uongo ili mkikutana akupe la ukweli hehehe. Mnakutana ndio dah aibu...

You wish you can turn back to point zero kitu ambacho hakiwezekani
La muhimu pamoja na aibu zote na kufedheheka kote utakakokuwa nako kwa kukutana nae ni bora sasa mkae chini muambiane ukweli
Kuwa pamoja na hayo na misimamo yenu na kupinga kwenu hayo ni bora heshima irudi na ichukue mkondo wake na hapo hakuna kitakachoendeela ila mtasimamia kile mnachokiamini
Mmeshafanya kosa na kosa haliwezi kurekebishwa kwa kosa jingine la kwenda one more other step ila fukieni mashimo mjione wote ni wakosaji na rudini pale mlipoanzia
najua uso wa mbuzi tena ofisini hautakuwepo ila msitake kuwaonyesha watu kuwa mmelegeza msimamo wenu na hampingi tena kile mlichokuwa mnapinga
 
hahahaha.... Tena tu the next day if you communicate you are shy over the phone na hujawahi muona... I can not imagine aibu ya face to face (Take note: speaking from assumption) :eyebrows:

who said its from experience?
is it? lol
 
Mimi kwa mtazamo wangu sio embarrassing kivile.... Tatizo huja hapa.

  1. Wewe ni kijana alafu kumbe huyo mhusika age sawa na mamako.
  2. Wewe ni mdada/mwanamke alafu kijana mwenyewe ni 19/20 hivi.
  3. Mnafahamiana kabisa to the extent kila mmoja ajua hadi mke/mmeo na wote hua mnapotray ni wastaarabu.
  4. Ni ndugu yako kabisa wa damu.... Gosh!
  5. Ulivokua unategemea alivo sivo. mfano if you thot yupo kama Denzel Washington unakutana na the opposite! lol
 
AshaDii omba scenario mojawapo kati ya hizo isikukute
Yaani pale unapoomba ardhi ifunguke na kukufunika na haifanyi hivyo
 
Mimi kwa mtazamo wangu sio embarrassing kivile.... Tatizo huja hapa.

  1. Wewe ni kijana alafu kumbe huyo mhusika age sawa na mamako.
  2. Wewe ni mdada/mwanamke alafu kijana mwenyewe ni 19/20 hivi.
  3. Mnafahamiana kabisa to the extent kila mmoja ajua hadi mke/mmeo na wote hua mnapotray ni wastaarabu.
  4. Ni ndugu yako kabisa wa damu.... Gosh!
  5. Ulivokua unategemea alivo sivo. mfano if you thot yupo kama Denzel Washington unakutana na the opposite! lol

huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
 
Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.

Ntamwambia ya JF yaishie JF hapa kazi tuu.

Na ntamchimba biti asimwambie yeyote kuwa tumegongana JF.

Halafu uso wa mbuzi unaendelea kama kawa.
images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom