Usha flirt naye sana

mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane

Tatizo la Face book nalo ni hili.... Yule anaeitwa Andongolile Papakua anabadili jina kuenda Andy Papak ili li sound better.... Picha anaweka ambayo yupo ten years years younger or imefanyiwa photoshop 90% change of the real person.... lol
 
mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
The Boss nashukuru kwa kunipa hii akili maana.......!
Nimeshaanza kuiaply hope itanipa ujasiri flan!
 
Tatizo la Face book nalo ni hili.... Yule anaeitwa Andongolile Papakua anabadili jina kuenda Andy Papak ili li sound better.... Picha anaweka ambayo yupo ten years years younger or imefanyiwa photoshop 90% change of the real person.... lol

wewe hapo tazama friendlist na wapi alisoma
ukiona hupati jibu ujue fake
achana nae
 
hapo kuwa makini
usi flirt hadi unamjua kwanza

Haya mambo Boss yahitaji kuwa makini sana
Watu wanabadilisha na wanabadilika sana
Hata huko facebook unaweza kujikuta unachart na mtu au mtu kaweka information ambazo 75% ni fake
kuanzia picha jina na kwa kuwa wengine hata no za simu ni option ukajikuta hata no kuipata ni issue
La muhimu mkuu ni kuwa makini tuu hakuna ujanja
 
Wifi unaniponza ujue! Nimecheka sana! Papak,lol
Tatizo la Face book nalo ni hili.... Yule anaeitwa Andongolile Papakua anabadili jina kuenda Andy Papak ili li sound better.... Picha anaweka ambayo yupo ten years years younger or imefanyiwa photoshop 90% change of the real person.... lol
 
Inaweza ikatokea hivyo, unaweza ukawa unachat na dada yako au mama, baba, n.k. Suala ni kuwa makini tu.....!

nimeshtuka sana mkuu as bado kidogo tu niharibu na mdogo wa mama angu mdogo niaka fulani hivi>those days nilikuwa active kwenye game na nilifika kwenye mji wanakoishi hao ndugu zangu,nikakaa nje ya home kwa siku mbili kwanza nile raha(mzee wangu ni mtu mgumu kidogo)....mawindo ya siku hiyo yalinasa kifaa cha haja na we spent some time tukiwa faragha ila sikuchakachua as sikuwa na 'dawa ya penzi'.ila tuli-fore play na kila kitu.tukapanga kuonana kesho yake.ucku nikaenda home kama ndio kwanza nimefika.watu wote wako sebuleni mgeni kaja.nimeoga na kula,kabla ya kulala mama mdogo anaagiza aitwe mtu mmoja tutambuane(alikua chumbani kwake)..........ile anatokea tunagongana macho...eti ' baba huyu nae ni mama yako mdogo japo ni mdogo kwa umri...karibu sana'...ardhi ilileta tu mgomo kufunguka inifukie ila nili-wish!!
 
hahaha unaweza kukuta ni boss wako mnatizamana meza kumbe kila mtu katoa info za uongo

katafute filam inaitwa
YOU HAVE GOT MAIL'

watu walikuwa wapenzi mtandaoni,wanashauriana na kupeana mahaba
wakati in real life ni maadui hawaelewani....lol
 
Rubuye hukuuliza jina na ukoo na ametokea wapi na wazazi wake ni nani na nani kabla ya kufunuana nguo
haya mambo ya kwenda mitaa ya home halafu unajipachika sehem eti kupoteza maboya ni mbaya sana
 
Rubuye hukuuliza jina na ukoo na ametokea wapi na wazazi wake ni nani na nani kabla ya kufunuana nguo
haya mambo ya kwenda mitaa ya home halafu unajipachika sehem eti kupoteza maboya ni mbaya sana

Mr Rocky,

Unamuuliza jina ukoo demu wakati ndio mmekutana kutana tu? si atakuona mnoko ka mgambo wa jiji
 
Mr Rocky,

Unamuuliza jina ukoo demu wakati ndio mmekutana kutana tu? si atakuona mnoko ka mgambo wa jiji

Mkuu sometime bora uonekane mnoko kuliko kula kuku na mayai yake aise
Kuna mambo mengine mkuu unavaa uso wa mbuzi kuyafanya
Siku hizi mkuu kwa muingiliano huu na jinsi ndugu walivyoptapakaa kila sehem yafaa kuwa makini sana maana unaweza kutana na binti mrembo huko mtaani kuja kuuliza ni mtoto wa mama yako mdogo au mtoto wa mjomba au mtoto wa shangazi yako
Ni bora kuwa makini uonekane mnoko kuliko kuonekana mwema wakati unakula aibu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom