used?
kwanini ununue used?
wabongo bana,switch mpya mbona bei rahisi sana approx25,000/=
sasa unataka used ili ununue elf2000 au?
na utafanyia nini hiyo ilochoka au unataka kwa ajili ya kutunza tu
Natafuta used 2811 Router 2950/3550 Switch.
Wapi nitapata tanzania hii?
(nina option ya kunua ebay - mwenye experience na ununuzi ebay naomba hints)
Nawakilisha.
Natafuta used 2811 Router 2950/3550 Switch.
Wapi nitapata tanzania hii?
(nina option ya kunua ebay - mwenye experience na ununuzi ebay naomba hints)
Nawakilisha.
Ebay kama unatumia malipo kwa njia ya paypal ni bomba zaidi. lakini tatizo sio supplier wote wanakubali wateja wa huku africa.. Hicho ndio kinaweza kuwa kikwazo..
Na unaweza kusoma customer review za wateja walionunua bidhaa utoka kwa huyo supplier unayenunua kujirizisha zaidi . lakini paypal ni assurance tosha kuwa hutaliwa pesa zako bure. kama alivyokushauri steve Diii toa link wamtathmini huyo supplier.
duh!Nyie angaikeni na malipo ya online weeee. wakisha tuma kwa standard Air mail kitu kinaibiwa ofisi za posta...unapata makaratasi tu na mzigo huoni ukiwasiliana na seller anasema ametuma lol!!! Tafuta mtu binafsi anaenda nje mara kwa mara umuagize akanunulie ebay lakini akiwa kule hapa utaliwa bure..Tena usinikumbushe machungu achana na Ebay kwa bongo. itachakachuliwa ikifika tu
Nyie angaikeni na malipo ya online weeee. wakisha tuma kwa standard Air mail kitu kinaibiwa ofisi za posta...unapata makaratasi tu na mzigo huoni ukiwasiliana na seller anasema ametuma lol!!! Tafuta mtu binafsi anaenda nje mara kwa mara umuagize akanunulie ebay lakini akiwa kule hapa utaliwa bure..Tena usinikumbushe machungu achana na Ebay kwa bongo. itachakachuliwa ikifika tu
Mkuu ni sawa kabisa kwa unayoyasema, utapeli wa kutumiwa vitu feki au kuibiwa hapa hapa posta unatokea mara nyingi, haswa kwenye ebay na hiyo ni popote pale duniani ebay wanapo operate. Walau Amazon wana uafadhali kidogo. Hata hivyo, kama tulivyo mwomba, atupatie link ya pahala alipopatia hivyo kitu, kisha kila mmoja wetu atadadisi aina ya muuzaji anayemwongelea. Lakini pia, mtu yeyote hapa JF anaweza kuwasiliana naye kuhusiana na hivyo vifaa na namna anavyoweza kuvituma hapa Tz. Muuzaji kama ni muungwana na kwasababu ni vifaa vya gharama kubwa, anaweza kutumia secure postage kama EMS, DHL au nyingineyo kwa kukubaliana na mnunuaji kulipa hela zaidi kidogo na kuongezea uhakika wa vifaa kumfikia.
Kutuma mtu is okay, but in similar manners mtu anaweza kukuzima kwa kutaja sababu mbalimbali... kuibiwa, kupoteza n.k. Lakini kama una ongea na mtu kabla ya kutuma kwenye ebay, pia kama mtu anaonekana ana rating nzuri, na wewe kuwa ni member wa muda mrefu kidogo; mawasiliano yenu yanatunzwa na kuwa evidence ya kupewa refund kama vitu vyako vinapotea au kama unauziwa kanyaboya. As long as policy ya ebay inaruhusu refund ya manunuzi na kiwango cha gharama au aina ya kitu hicho kutoka hapa Tz.
ThanksPoa sana. Sellers wote katika link wako okay. Ila switch kati ya hao wawili nunua kutoka link ya pili. Router, yeyote anafaa, wa pili anafaa zaidi!
Hakikisha unaandikiana nao tu kuhusiana na shipment, fanya hivyo via communication means zilizopo ndani ya ebay na si nje ili ku-preserve mawasiliano. Uzuri products zote ziko listed na payment protection. Hivyo kuna usalama mkubwa wa kupokea vifaa utakavyonunua.
Good luck!!!
Thanks
Steve,Ngoja nisubirie say mpaka Tuesday hivi ,nikikose hapa hapa ,will go for ebay....japo nna kauoga kidogo(sijawahi fanya transactions online)..
Thanks
Steve,Ngoja nisubirie say mpaka Tuesday hivi ,nikikose hapa hapa ,will go for ebay....japo nna kauoga kidogo(sijawahi fanya transactions online)..
Swali zuri Mtazamaji,Na wakati unasuribi kama hutajali naomba nikuulize .
- Kwa nini hasa unataka CISCO router switch hiyo na sio brand zingine. mfano D- link au Netgear
- Hiyo router unayotaka ina 48 ports. je itakapotumika hizo ports zote zitatumika ? I meana kwa nini usitafute za 24 ports au 12 ports ?
used?
kwanini ununue used?
wabongo bana,switch mpya mbona bei rahisi sana approx25,000/=
sasa unataka used ili ununue elf2000 au?
na utafanyia nini hiyo ilochoka au unataka kwa ajili ya kutunza tu