Used laptop

nauza laptop, nataka kulipa tuition fees.
160gb, ram 1gb, duo processor, wireless- wifi, dvdwrter. webcam. (DELL)
 
Whats up gud pipo,

am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.

Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.

ni pm mm nitakutumia brand new kwa bei chee. na kwa nini unataka used? hela haitoshi? pm me we gonna talk
 
avatar14388_4.gif
Chipikizi kila nikiiona hii picha yako daima huwa nafurahi sana

Zipuwawa,nashukuru umenisaidia kufikisha ujumbe kwa chipukizi,mimi sina cha kuongeza ila sina mbavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom