Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

Status
Not open for further replies.
Gazeti la Tanzania Daima siku hizi habari zake ziko kama Annur!!!

Hivi hii habari mhariri kaiona kweli na kuipa go ahead ya kuchapishwa in this version?

Nani asiyejua kuwa karate ni sport kama jinsi ilivyo boxing, wrestlling, football, hockey na michezo mingine.

Katika nchi zinazoendeshwa kisheria, kila jambo unalopendekeza LAZIMA uangalie legal basis yake. Je, tuna sheria inayosema watu wa dini fulani wasijifunze michezo fulani?
 
Kwani na Waislamu nao ni Wachina? Uislamu na Kareti wapi na Wapi bhana?? Kuna Msikiti ule pale Mwananyamala Hospital na Mwingine uko kule Mabibo ya NIT unaitwa Kiblateni yaani mambo ni hayo hayo tu , nilienda Lushoto nikakuta nako ni vile vile........
Kumbe Kareti ni ugaidi basi taifa la China wote ni magaidi, Kareti ni utamaduni wao.
 
Kumbe Kareti ni ugaidi basi taifa la China wote ni magaidi, Kareti ni utamaduni wao.

Ha ha haa RITZ kumbe hata Jack Chen ni gaidi kweli nimeamini CCM haiondoki madarakani kitu kidogo tu watanzania unawalaza sasa hivi ni FBI na CIA wameshasahau mambo ya elimu.
 
Kumbe Kareti ni ugaidi basi taifa la China wote ni magaidi, Kareti ni utamaduni wao.
Mkuu Kareti si ugaidi, ila inapofundishwa kwenye nyumba za ibada ambapo watu wanahubiriwa kujiandaa kwa mapambano, inakua sio jambo la kawaida.
 
Hata marehemu Bluce Lee nasikia naye alikuwa Gaidi alikuwa bingwa wa Kareti.
Ah ritz si umesema ni utamaduni wao..tatizo hao wa vingunguti..je nao ni utamaduni wao...hizi kareti mara nyingi zimekuwa na madhara ndani ya mickitini yenyewe...hasa linapokuja swala la uongozi...kwa upande wa nje ya misikitini sijaona madhara yake...maana misikiti kutumika kama maeneo ya kareti haijaanza leo kwa mtu anayefuatilia na ritz unalifahamu hili... Ila kule Arusha pale metropole kuna msikiti wa wale wafuasi wa imam hussein(aliyekuwa mjukuu wa mtume).. mule ndani kuna mafunzo makali sana ya watoto ya kutumia silaha..japo cjajua wanaenda kutumia wapi...
 
Ujinga mtupu ati mle wanafundishana karati na kujifunza dhana wanazalisha magaidi mbona mnapenda kufatilia yasio wahusu je huyo dr slaa alie sema nchi haitotawalika mbona bado yuko nje hajakamatwa wanashughulika na kina ilunga tu iko siku kitanuka tz kwa ujinga wakukamata mashehe kila mara

Acha kutoa povu kwa kuandika upumavu,halafu unasema kitanuka unamtisha nani,usifikirie kwamba watu wako kimya kwa yanayotokea,hakuna unaemtisha kwa lolote,kinuke tu kwani wewe utapona kikinuka? Ndio akili zenu mbovu mnaanza kufundisha vijambazi misikitini halafu wapuuzi wengine wanasema ni utamaduni,kwa sababu dini yenu ni dini ya machafuko mumezoea machafuko tu na vurugu,kikinuka hakuna atakaepona hata wewe unaejidai unanguvu JARIBU UONE
 
Una nia njema kabisa ya kutujuza ili kuchukua tahadhari. Nadhani wahusika watalifanyia kazi. Lakini pia tuwe na subira kipindi hiki ambacho mkuu wa nchi ametangaza kiama kwa wachochezi wote wa uvunjifu wa amani.
 
Kwani na Waislamu nao ni Wachina? Uislamu na Kareti wapi na Wapi bhana?? Kuna Msikiti ule pale Mwananyamala Hospital na Mwingine uko kule Mabibo ya NIT unaitwa Kiblateni yaani mambo ni hayo hayo tu , nilienda Lushoto nikakuta nako ni vile vile........

Hata mimi nafanya mazoezi ya kareti kwenye msikiti ninaoswali huku Arusha hiyo ni haki yangu na haki ya waislamu wote duniani uislamu hautaki mtu legelege na tutaendelea kufanya nendeni mahakamani mkapinge au waambieni FBI sindio mnaowategemea
 
Yaani usalama wa taifa kama ungekuwepo ilibidi wawe washaligundua ilo kabla wewe raia na ilo gazeti kugundua.
Au usikute waligundua ila mkuu akasema potezea
 
Wewe ndiyo hujui chochote kuhusu Uislam, katika dini ya Kiislam michezo ya mazoezi imeruhusiwa.
Hapo Ritz nakuunga mkono, mtalibeba taifa kwenye Olimpiki katika Gymnisim. .....Lol!.
 
Last edited by a moderator:
Joseph Kaseba naye ni gaidi?

Ritz unagonga misumari mizito hawana hoja hao hayo ni maneno ya mfa maji wacha watu tujiweke fit baada ya swala yani raha kuwa muislamu ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tutayasikia mengi maana akina mohamed said wanafundisha chuki na kupandikiza uhasama, wafuasi wake kule

kwenye mjadala unaomuhususu mohamed utawaona tu kila waendako ni wapenzi na washabikiaji wazuri wa tabia na

matukio ya kigaidi. kwao amani na utafutaji wa amani ni nadra kuongelewa. watanzania wataishi kwa amani pale tu

tutakapoungana wote bila kujali dini zetu kuitafuta amani ya kweli na kuwatokomeza wale wote wanaotumia makanisa,

misikiti na siasa kutuweka matatani akiwamo mohamed said, anayetumia kivuli cha historia kuwachochea baadhi ya

watanzania kuwachukia wengine akijenga hoja juu ya mfumo wa kufikirika -mfumo kristo, Necta, MOU nk Huyu mzee

nichimbuko lingine la chuki baina ya watanzania kwa hoja za kitapeli na kinafiki.
 
Joseph Kaseba naye ni gaidi?

Teh teh teh, siyo wacheza kareti wote ni magaidi na siyo lazima Kila gaidi ajue kareti, nadhani hujamuelewa mleta mada, Amsesema wazi kuwa MSIKITI WA VINGUNGUTI unaolea watoto yatima na kuwapa mafunzo ya kareti na ugaidi, mimi nadhani jambo la msingi hapa ni mleta mada athibitishe kauli yake ili kuepuka kuchonganisha, Nadhani jana kama tumesikiliza vizuri hotuba ya mheshimiwa Rais huu siyo muda wa kulumbana kuhusu dini, bali mambo yawe wazi na wote wenye chokochoko wachukuliwe hatua ikiwa ni pamoja na watakaobainika kuleta mada ambazo hazina ushahidi mitandaoni.
 
Ah ritz si umesema ni utamaduni wao..tatizo hao wa vingunguti..je nao ni utamaduni wao...hizi kareti mara nyingi zimekuwa na madhara ndani ya mickitini yenyewe...hasa linapokuja swala la uongozi...kwa upande wa nje ya misikitini sijaona madhara yake...maana misikiti kutumika kama maeneo ya kareti haijaanza leo kwa mtu anayefuatilia na ritz unalifahamu hili... Ila kule Arusha pale metropole kuna msikiti wa wale wafuasi wa imam hussein(aliyekuwa mjukuu wa mtume).. mule ndani kuna mafunzo makali sana ya watoto ya kutumia silaha..japo cjajua wanaenda kutumia wapi...

Mkuu KKKT kila siku wanapigana kanisani ni kwa sababu ya kareti?
 
Hilo la maguruneti umesema wewe sisi kufanya mazoezi tunafanya wala sio siri na udugu wetu unabaki kwa adam tu si kiimani na mazoezi yangu hayahusiani na wewe wala mtu wa dini nyingine hayo na mawazo mgando wewe na wagalatia wenzako

Jamani mbona mazoezi watu wanafanya hata kama siyo waislamu? Acheni haya mambo bwana hayana tija kwa taifa.
 
Kumbe Kareti ni ugaidi basi taifa la China wote ni magaidi, Kareti ni utamaduni wao.

.
Sawa ni utamaduni wa wachina ila sasa tunataka kujua ni kareti ni nguzo ya ngapi ndani ya uisilamu.
.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom