kingfish JF-Expert Member Apr 15, 2011 571 159 Jun 13, 2012 #1 Naomba maoni yenu. Attachments BODABODA.jpg 21.5 KB · Views: 203
Zogwale JF-Expert Member Jul 10, 2008 15,287 10,842 Jun 13, 2012 #2 kingfish said: Naomba maoni yenu. Click to expand... Maisha bora kwa kila mtanzania!!! Ari zaidi, nguvu zaidi na kwa kasi zaidi!!
kingfish said: Naomba maoni yenu. Click to expand... Maisha bora kwa kila mtanzania!!! Ari zaidi, nguvu zaidi na kwa kasi zaidi!!
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 Jun 13, 2012 #4 Sijaona hatari yeyote hapo. CCM ni hatari zidi.
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Jun 13, 2012 #5 Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much!
marejesho JF-Expert Member Jan 6, 2011 6,635 3,655 Jun 13, 2012 #6 Duh!!!mpaka afike aendako,miguu itakuwa inamuuma kwa style aliyokaa!!!
webondo JF-Expert Member Apr 29, 2012 1,713 382 Jun 14, 2012 #8 Kibongobongo ni kawaida, ugumu wa maisha unatulazimu kufanya hivyo.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 14, 2012 #9 Hiyo miguu duuh shughuli ipo kama anazaa
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Jun 14, 2012 #10 mwaJ said: Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much! Click to expand... cha ajabu nini wakati anatafuta money/chapaaa! zoezi hilo analimudu hata kwenye secta nyingine!!
mwaJ said: Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much! Click to expand... cha ajabu nini wakati anatafuta money/chapaaa! zoezi hilo analimudu hata kwenye secta nyingine!!
tz1 JF-Expert Member Mar 19, 2011 2,121 534 Jun 14, 2012 #12 Alivyo panua si ana ongeza ukubwa wa nani hii?