Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

Status
Not open for further replies.
usajili unaendelea, na unaruhusiwa kupendekeza wajumbe wa tume ya uchaguzi ya uongozi wa tawi
 
LUTAYEGA utakuwa umelala, kuna ujumbe wako kwenye PM. Jaribu kuufuatilia kama wazo litakuwa zuri basi lifanyie kazi. Me naangusha, I have to work up early in morning kusoma, next monday kuna UE. Gd night to all of you.
 
Mwenyekiti ungoza mchakato wa kupata viongozi wa muda.
mkuu mi naona tusubili kidogo kwa kuwa wanachama wanazidi kujitokeza hivyo tuendelee kwanza na usajili baada ya usajili tutapendekeza tume ya uchaguzi kwaajili ya kuongoza uchaguzi ili kupata uongozi
 
LUTAYEGA utakuwa umelala, kuna ujumbe wako kwenye PM. Jaribu kuufuatilia kama wazo litakuwa zuri basi lifanyie kazi. Me naangusha, I have to work up early in morning kusoma, next monday kuna UE. Gd night to all of you.
Nimekupata mkuu, ushauri wako ni mzuri na ninaufanyia kazi
 
Jamani nisisahaulike.. Lutayega na mi nimo.. Jina la tawi liwe CHADEMA MTANDAONI coz hakuna mtandao mwingine kama JF so haitakuwa general.

Mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho.

MBUMBUMBU intelligent!
 
Kwa wale ambao bado mpo macho usajili unaendelea ila mimi kwa sasa naelekea kitandani, tutaonana asubuhi. usiku mwema makamand
 
ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea
1.Lutayega
2.Godwinnko
3.Eliceco
4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com
5. Ukweli mtupu
6. TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
7.Kuku dume
8.mungi
9. Kalyovatipi
10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
11. 1800
12. Havizya
13. Kabembe
14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
16. Salma2015
17. Atabase Agaya.
18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
19.ibange
20.mahoza
21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
22.kajunju

23 Frafajo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom