Usajili wa namba za simu, piga *106# ok.

Wakuu, nina wazo. Kwa muda mrefu haya makampuni ya simu za mikononi yametutafuna sana. Hebu safari na sisi tujaribu kuwatafuna. Ninashauri kila mwanaJF atoe nakala ya fomu aliyojiandikisha na tarehe moja ikifika tu na ukafungiwa simu yako wakati uliandikisha, tujikusanye na kudai fidia kutokana na makampuni hayo 'kutukosesha mamilioni tuliyotegemea kupata kutokana na simu zetu kuwa hewani....' or something like that, kama wanasheria wetu humu ndani wartakavyoshauri. wametula sana hawa jamaa sasa na sisi tuwale...!

yani kweli ww ni baba deci minipo na ww bega kwa bega tena tutafute na wakili mzuri au mchungaji mtikila
 
Back
Top Bottom