Usaili wa kazi moja zaidi ya mara nne

Mkuu,
Mbona sijakuelewa kiusahihi?
Hiyo post nami ni candidate ila nimefanya only two oral interviews moja ilikuwa July 17 with Director wa sales & HR Director, after screening tukabaki wa3 na last interview ilifanyika Aug 12..! Mbona kama habari yako imeenda mbali sana?
 
On Tuesday 2/9, nikapigiwa simu na coca cola kwa majibu ya interview with their number of 0784106740, nasubiri call ya kwenda kumwaga wino now...!
Taarifa yako inaleta mkanganyiko kiasi. Hiyo test ya driving sijaona mantiki yake
 
Mawazo ujenzi,
Habari yako? Mbona umejibu huku povu linakutoka mdomoni?
Ntajitahidi kukujibu kwa hoja ili mwishone tuweze kuelewana.

Director wa sales wa coca cola kwanza ana asili ya uhindi na ni mfupi kwa kimo. Hii kazi ilitangazwa kwenye gazeti la Guardian la 11/07 na mwisho wa maombi ilikuwa ni 16/07, interview ya kwanza ilifanyika 17/07 pale makao makuu mikocheni kwenye ofisi za idara ya mauzo na masoko first floor last room kwa upande wa kulia after HR service office.

Kuhusu driving test si lazima ufanyiwe so far kama hujawahi kumiliki gari au unapofanya kazi now hujawahi pewa gari ya kampuni, ila kiufupi zaidi wanaweza kuhitaji leseni yako ya udereva na kujiridhisha pasipo kukuingiza mtaani for testing.

Mwisho, unaonekana hii kazi unaihitaji sana na yeyote anayetokea kama mshindani wako anakuumiza kichwa, itakuwa upo jobless na hiyo nafasi ya coca ndo mahali unapohisi utayatoa maisha...! Dada wa mwisho kukutana nae nadhani anaitwa Scolastica, zungumza nae akusaidie ili utimize ndoto zako, siye tuna ajira za kuajiriwa na tuna vimiradi vyetu hapa mjini, kiufupi tupo kwenye hatua za mwisho za kuajiriwa...! Uzoefu wa kazi wa miaka kumi kwenye ofisi za watu unatosha.

All the best, na siku zingine ukiweka thread kubali mawazo hasi na uwe tayari kuyahimili.

In case ukiikosa hiyo kazi pls niibox nitakupa nafasi ya kazi hapa kazini nilipo, as Head of upcountry sales dept nina nafasi moja pending to be filled.
Don't hesitate to pm me.

Regards,
Kagame
 
Dear kagame pole sana!!!

Kwanza naomba nikujibu hoja zako za kitoto kama ifuatavyo!

1. Sijawahi kaa kitaa bila kazi tangu nitoke chuo,labda wewe ndo unayejisema kimoyomoyo!!

2. Naomba nikuambie kitu kimoja cha msingi,nishafanya usaili wa hali ya juu zaidi ya hiyo post ya Coca!!

3. Schora ni hr mdogo sana,ungeniambia labda Country HR Manager Mr Erick ningekuelewa kidogo!!

Usipende kujionyesha ujinga ulionao kichwani mwako, kama unakazi nzuri tena ya upcounty hyo ya coca unaipigia jaramba ya nini? Why don't you stay in your office? Utuachie sisi jobless, hapa kwa mtu mwenye akili,haitaji hata Elimu atajua kabisa huna kazi!!

4. Sijawahi ona upewe gari la company bila testing,maana leseni zinapatikana tu kitaa,pale my Fair Mikicheni,ukiwa na pesa hata class C unapata!!

5. Hiyo kazi msaidie mdogo wako au mkeo! Huwezi andika eti unasubilia kwenda kumwaga wino wakati interview ya nne ulikimbia! Au unataka nikutaje hadi jina lako??

Aisee!!!
 
Daaha naona kagame amekimbia uzi, vipi imeendeleaje?? ilikuwa ni conversation nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa mwingine kaambiwa asubur kumwaga wino mwingine anafanyishwa interview kwa the same post,ningependa kujua nani kapata hyo nafasi kwakwel!mwe
 
Habari wandugu?
Najua conversation hii imewavutia sana na mngependa kuona ikiendelea ila nadhani imefika mwisho.

Nilidhani mleta hoja yupo tayari kubeba challenging ideas ila badala yake anatengeneza hoja zisizo mashiko na zenye mwelekeo wa matusi & dharau.
Nilichogundua kupitia andishi lake la mwisho nimemgundua kama mtu ambaye hajakomaa kiakili na kimaadili hata hivyo ntapenda kumweka sawa kidogo kwa vijiswali vyake vichache.

Ni kweli scola ni HR mdogo sana pale coca ila ndo anahandle recruitment process ya hii post, huyo Herick, jina lake sahihi ni Erick Ongala ni HR Director siyo country HR na kwenye hili utaumia tu nikikujulisha kuwa huyo ni classmate wangu Tambaza class of 1999-2001, angeamua awe bias weye sidhani kama ungefika hata 2nd interview.

Kwanini nimeiomba hiyo nafasi wakati nina post yenye majukumu mazito?
Nimefafanua kuwa nipo kwenye siku za mwisho za ajira ili nisimamie vijimiradi vyangu thereafter, ili vijimiradi viwe stable vinahitaji uangalizi wa karibu ambapo nikiwa sisafiri frequently itanisaidia sana kuweka uangalizi huo.

Post yangu ya sasa inanipa muda mchache sana kwa mwaka kutulia dar, niliiomba hiyo post ili pia niepukane na safari za mara kwa mara na kutulia na familia pamoja.

Mwisho, nitafurahi sana kama utaweza kunitaja kwa jina ili na wengine waweze kunifahamu, lakini lililo na faida na ambalo ni la muhimu mno kwako na familia yenu ni kwamba ile nafasi moja pending kwenye idara yangu bado naireserve kwa ajili yako, pls nipm tu nikupe email utume document zako nikusaidie kijana
 
Back
Top Bottom