Dear kagame pole sana!!!
Kwanza naomba nikujibu hoja zako za kitoto kama ifuatavyo!
1. Sijawahi kaa kitaa bila kazi tangu nitoke chuo,labda wewe ndo unayejisema kimoyomoyo!!
2. Naomba nikuambie kitu kimoja cha msingi,nishafanya usaili wa hali ya juu zaidi ya hiyo post ya Coca!!
3. Schora ni hr mdogo sana,ungeniambia labda Country HR Manager Mr Erick ningekuelewa kidogo!!
Usipende kujionyesha ujinga ulionao kichwani mwako, kama unakazi nzuri tena ya upcounty hyo ya coca unaipigia jaramba ya nini? Why don't you stay in your office? Utuachie sisi jobless, hapa kwa mtu mwenye akili,haitaji hata Elimu atajua kabisa huna kazi!!
4. Sijawahi ona upewe gari la company bila testing,maana leseni zinapatikana tu kitaa,pale my Fair Mikicheni,ukiwa na pesa hata class C unapata!!
5. Hiyo kazi msaidie mdogo wako au mkeo! Huwezi andika eti unasubilia kwenda kumwaga wino wakati interview ya nne ulikimbia! Au unataka nikutaje hadi jina lako??
mmeishia wapi jamani endeleeni tu
Mimi Kagame alafu wewe yule dogo aliyekuwa lopolopohuu ugomvi uliishaje?