Usafiri wa Train raha tupu!

Heri yako wewe uliyewahi, wenzio tmesotaje stesheni? Na hapa tupo kwenye daladala.
 
Heri yako wewe uliyewahi, wenzio tmesotaje stesheni? Na hapa tupo kwenye daladala.

Nakupongeza Mwakyembe kwa kutekeleza vizuri ilani ya CCM. Kila kitu kinawezekana ikiwa wenye dhamana ya kuwaongoza watanzania kutoka dimbwi la umaskini watasimamia vizuri kazi zao. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Hapa wapongezwa wananchi wote waliotoa kodi zao either kwa roho moja ama kwa shingo upande na kuwezesha shuguli hii mana kama mwakyembe angekuwa 2 na wazo akakosa fedha isingewezekana. Big up Watanzania
 
ngoja waje chadema uone matusi yao mana rohooo inawauma hapo noma ...mana wanawaza muda wote jk ashindwe kutimiza ahadi
mwakyembe ni jembe la chadema hukuona alivyopokelewa kule kyela...kama ni kikwete kwann asingefanya hivo kitambo?????
 
Nyie si mnajifanya mnazo,ile Reli inayotoka bandarini hadi Wazo si mliing'oa,mkajenga mahekalu yenu juuu yake,matokeo yake mnayaona.
 
kwa kweli umeonesha upeo wa chini wa kufikiri, lengo la chadema si kutoa matusi, lengo ni kuona, kuhakikisha watanzania wote wanakua na maisha bora, ajira, usafiri mzuri, in short kuondokana na umaskini wewe inaonekana ulikua na mtizamo hasi,,,unahitaji maombi na kufunga M4C
 
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.

.....







...

Katimiza wajibu wake huyo hakuna haja ya kumpongeza....




Hata hivyo CCM wamechelewa sana, ilitakiwa tuwe tunatumia za umeme!!!




...
 
Hebu tingisha kichwa chako je unasikia kuna nn? Kuna k2 kinatingishia tingishika au usikii chochote. Ukisikia k2 kinatingishika jua kumejaa maji ukiona kimya ujue kuna hewa 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nimeipenda hii! LIKE!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwakyembe amedhubutu na ameweza. Hao mawaziri wengine wanafanya nini? Chamsingi tutoe maoni ya namna ya kuboresha huduma hii ya usafiri wa treni jijini DSM.

Hauwezi kudumu huu usafiri ndani ya miaka 2, i bet on my wife.......
 
Naona Wivu sisi wa Bunju Boko na Tegeta tunatamani tungepata na sisi kwa sababu Wenye Daladala za Route hii jioni wanatupa shida sana.
wanakatisha Route na kutufungia milango Jioni.
Nakumbuka walishaongea kwamba kutakuwepo boti (ferries) kati ya posta na maeneo ya huko Tegeta sijui mkakati huo uliishiawapi.
 
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala ningekuwa bado na sota kwenye foleni. Hongera sana Dr Mwakyembe kwa kusimamia mawazo na maamzi yako.

Umedandia nini, maana wenzako kibao wanaachwa njiani na ticket ni kidogo!
 
Heri yako wewe uliyewahi, wenzio tmesotaje stesheni? Na hapa tupo kwenye daladala.

Mwenyewe nimechemka kugombea tiketi waongeze tiket kwa siku zaidi tiketi 100,000 kwa siku ziwe standby
 
awamu mbili kwa siku

AWAMU YA KWANZA; Saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne asubuhi

AWAMU YA PILI; Saa tiusa alasiri hadi saa tatu usiku

Toka safari zianze mi nimekuwa msafiri ndani ya hili gari moshi

The Listener - Ex Detective
 
Back
Top Bottom