Usafi wa Mwili: Kwanini taulo huwa linachafuka?

Nilishawahi kujibu hili, ni kwamba unapooga unajifuta mwili halafu unaanika juani ili ikauke, lakini kumbuka taulo inakuwa mbichi na vumbi linajaa kwenye taulo.
Unapojifutia tena ndio unaliona limechafuka.

Bora uanike ndani
 
Mkuu, sijakuelewa bado ni kipi unamaanisha kati ya kuanika na kujifuta uchafu unatokea wapi.
 
Kama unatumia sabun kama mbuni na za mfano huo lazima mwili utabaki na uchafu. Tumia sabuni maalum za kuogea na tena si sabun tu zenye manukato mazuri. Tumia medicated kama dettol, protex na the like. Pia hakikisha unajipaka sabuni kwa mipigo miwili unaanza wa kwanza unajisuuza then unapiga wa pili. Ile inayo chafua taulo ni layer ya pili ya chafu ambao unaambatana na mafuta yanayokuwa produced na mwili pale unapo sweat. Kama sabun si medicated haiwez kuiondoa layer hiyo ya uchafu. Jaribu njia hii halafu njoo utupe feedback.

Medicated soap kiaalamu wanasema sio nzuri kwa kuoge kila siku zinaondoa layer mojawapo ya ngozi yako ambayo ni kinga juu bacteria wanaohitajika mwilini kukukinga na maradhi ya ngozi, hivyo unashauriwa utumie sabuni za kawaida kwa ajili ya afya ya ngozi yako
 
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.
 
Taulo linachaguka NAHISI kwanza ni kutojisugua vizuri wengi wanaoga tu kujipakaza sabuni na kujimwagia maji, kikawaida nadhani unatakiwa ujisugue na dodoki liwe wa kienyeji au lakizugu ila mwili lazima usuguliwe vuzuri na kujimwagia maji mengi kuhakikisha sabuni yote imekwisha mwilini, na kujisugua ni vyema mtu akajisugua mara 2 yaani povu la kwanza wajisuuza halafu povu la pili unajisugua mwili utakuwa umetakata na hapo sidhani kama taulo litachafuka.
Pia tuwe tanaanika taulo nje lipigwe jua kuanika taulo ndani nako sio kuzuri utasabaisha magonjwa ya ngozi na taulo kunuka uvundo
 
Nimekuelewa sana Mkuu, nitayafanyia kazi maoni yako.
 
Uchafu unaobaki ktk taulo unatoka ktk sweat glands au vitundu vy jasho.ht ukitoka kuoga huwa vinapumua kutoa taka mwilini
 
Mi sielewi kwa nini ukioga usiku ukaenda kulala, ukiamka asubuhi ukaoga utaona uchafu unatokakwa nini inakua hivi?

Inaaezekana hukuoga vizuri kabla hujalala. Pia wakati wewe umelala tambua mwili na organ zake bado unakuwa unafanya kazi. Endapo uta sweat ukiwa umelala basi tambua kuwa lazima mwili utakua na uchafu ingawa hauwezi kuwa mwingi kama uchafu wa mchana kutwa.
 
Sehemu kubwa unayoiona kwenye taulo Ni seli mfu (dead cells) za ngozi yako.Mwili hupukutisha seli hizi kwa malaki kila siku
 
Swali la karne hili! Jibu lake litakuja kimtazamo tu, sio kitaalamu..
 
Last edited:
Habari zenu Wakuu!

Tangu nimekuwa nikifanya usafi wa mwili kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana akili, maswali mengi nimekuwa pia najaribu kuyatafutia majibu lakini sijabahatika kuyapata majibu yake.
Ulimewahi kujiuliza unapoingia bafuni kuoga na pindi umalizapo kuoga huwa unajifuta na taulo, kuna vitu viwili hujitokeza:-
1.Mwili kuendelea kuwa na uchafu japo umemaliza kuoga na kuufuta na taulo.

2.Kwanini taulo huwa linachafuka pindi unapojipangusa kuuondoa majimaji mwilini.

Nahitaji kueleweshwa jamani juu ya haya mambo, msaada wa kimawazo.

@EMMYGUY

Hili swali Zero (katuni ya Zero) aliwahi kumuuliza mama yake. Labda umtafute kama aliweza kutoa jibu kwa Zero. Maongezi yalikuwa kama ifuatavyo;

Mama: wee Zero ndio kuoga gani huko umefanya mbona hujatakata?
Zero: Kwani watu wakioga huwa wanatakata?
Mama: Eboo, kwa nini wasitakate na wameoga?
Zero: Kama wanatakata basi kwa nini mataulo wanayojifutia yanachafuka?
 
Baada ya kuoga mara nyingi kuna seli mfu huwa zinabaki juu ya ngozi na huwa zina elea elea kutokana na hivyo mtu ukijifuta na taulo zina baki kwenye taulo na kulifanya kuwa taulo chafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom