usafi ni muhimu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
wakazi wa dar es salaam leo ni siku ya kujitolea kufanya usafi katika maeneo yanayokuzunguka.usikose.tunataka jiji letu liwe safi.mia
 
asnte kwa taarifa, na mimi naongoza wanamtaa wenzangu huku Maneromango kusafisha mitaro ya maji machafu.
 
Tuanzishe pia siku ya kusafisha viongozi wa serikali
 
Back
Top Bottom