Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,869
Serikali ina mkono mrefu na maagizo yake hayawezi kupuuzwa na mtu awaye yote, hasa sisi wananchi wanyonge
Hatupaswi kupingana na serikali yetu kwenye hili hata kama litaleta ukakasi kwa kiasi gani... Yaani kufanya usafi siku ya kazi tena katikati ya wiki badala ya weekend kama ilivyozoeleka!
Tunachotakiwa kufanya sisi wananchi ni siku hiyo kuungana na serikali yetu kwenye hilo zoezi adhimu la kufanya usafi ndani ya jiji la Dar na vitongoji vyake vyote
Siku hiyo ya Jumatano ya tarehe 24 waajiriwa wapewe ruhusa maalum makazini kwao na kila mmoja avae kikazi zaidi huku akibeba kifaa chochote cha kufanyia usafi kama
Makofia
Vilemba
Natalia
Gloves
Mifagio
Vizoleo
Matoroli
Majembe
Mafyekeo
Reki
Gumboots nk
Itapendeza kama siku hiyo majeshi yetu yote yakiungana nasi kwenye zoezi hili adhimu na la kipekee sana
Tafadhali usikose kuhudhuria na unaweza pia kutafuta eneo la kusafisha ukiona ulipo ni pasafi
Vyombo vya usafiri navyo ni vema siku hiyo vikatoa huduma kwa kafanya usafi watakaoamua kwenda maeneo ya mbali
Sent using Jamii Forums mobile app