Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 400
- 1,004
Wakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24.
Swali ni kwamba, leo siku ya kwanza ya usafi huko mtaani kwenu vikosi vimeonekana vikifanya usafi?
Nyuki wa mama tupate picha jinsi zoezi lilivyofanyika leo.
Wameonekana leo mtaani kwako?