Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu,

Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24.

Swali ni kwamba, leo siku ya kwanza ya usafi huko mtaani kwenu vikosi vimeonekana vikifanya usafi?

Nyuki wa mama tupate picha jinsi zoezi lilivyofanyika leo.

jeshi.jpg

Wameonekana leo mtaani kwako?
 
View attachment 2880906
Wameonekana leo mtaani kwako?
Hakuna jeshi linalosikiliza taarifa za mitandaoni
 
Chalamila ni mpumbavu mmoja hivi na hapo Dar atang'oka!
 
Wakuu,

Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24.

Swali ni kwamba, leo siku ya kwanza ya usafi huko mtaani kwenu vikosi vimeonekana vikifanya usafi?

Nyuki wa mama tupate picha jinsi zoezi lilivyofanyika leo.

View attachment 2880906
Wameonekana leo mtaani kwako?
Rc atakuwa amepata funzo
 
Chalamila alidhani hii ni awamu ya tano. Ni vyema kumsoma boss wako kabla ya kukurupuka, mwisho ni kujipatia aibu na kuonekana kiherehere.

Linapotokea jambo kaa kwanza chini, fikiria, wasiliana na wakubwa zako uelewe wana maoni gani. Kwanza wanajeshi itakuwa walimtazama wakasema huyu zuzu anaongea nini huyu?
 
Back
Top Bottom