USA, Japan, German, and China ipi iko mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia?

Miaka 10-20 ni michache Mkuu, kasi tuionayo ya China ni Uchumi na si Sci & Tech (Kasi ya China kama taifa kiuchumi ni kubwa kuliko kasi ya hiyo hiyo China katika Sci & Tech).

Wazee wa mafeki-China-Bado wanasafari ndefu. Maendeleo ktk high tech yanahitaji mikakati madhubuti. Iko siku watafika
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
ningependa kuongeza kaswali waheshimiwa....tech & science company ambaye ndo giant wa wote ni nan?...nadhan na hapa tutapata mwanga zaid.
 
Tech & Science iko so wide na inainvolve areas nyingi tu sasa sidhani kama kuna jibu kwamba one company ndio iko on top ktk kila area. Labda ungefafanua kwamba ipi ni top company kwenye area fulani. Hayo ni maoni yangu
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Pamoja na kujidai na amani na umasikini wao, kujidai na maliasili inayofisadiwa, kupiga lager, ngono, kulaumu laumu ovyo, na uchawi/ushirikina

wewe kama mtanzania aunajidai na nini katika hayo uliyotaja ?
Nadhani umesahau siasa na bla bla. wich most of us tuko huko bila kujijua.
 
mshaanza sasa....hebu tuelimishane jaman...katika hzo category za kampun kubwa za tech n sci,wadau wanaeza kutaja ipi inayoongoza kwnye category yake,like may b cm ni ni nokia corp,n.k.
 
ningependa kuongeza kaswali waheshimiwa....tech & science company ambaye ndo giant wa wote ni nan?...nadhan na hapa tutapata mwanga zaid.

Hapa Mkuu utaleta ugomvi tu. Bora ungetaja field unayotaka. Ntawezaje kushindanisha LED screens za Samsung na Motion Capture ya WETA Digital au Reverse Engineering ya AMD processors na Reverse Osmosis ya majichumvi huko Arabuni?
 
... Hata hivyo binadamu wa kwanza kukanyaga uso wa mwezi ni Neil Amstrong wa US.
Yote uliyosema ni sahihi ila hapo nina wasiwasi nako. kama kweli walikanyaga mwezi imewashinda nini kurudi baada ya miaka 50 wakati tekinolojia umeendela sana kuliko miaka ile ya sitini? kumbuka kile kilikuwa ni kipindi cha propaganda za who's got the biggest ...
 
mshaanza sasa....hebu tuelimishane jaman...katika hzo category za kampun kubwa za tech n sci,wadau wanaeza kutaja ipi inayoongoza kwnye category yake,like may b cm ni ni nokia corp,n.k.

nokia juzi waetangaza imepoteza sana mvuto, TEC na samsung wanakuja juu pia IPOD
 
OS yake ya symbian inaonekana haina mvuto watu siku hizi wanaangalia OS sio kasha la nje la simu ndio maana Android OS wanakimbizana na Apple company.
 
Yote uliyosema ni sahihi ila hapo nina wasiwasi nako. kama kweli walikanyaga mwezi imewashinda nini kurudi baada ya miaka 50 wakati tekinolojia umeendela sana kuliko miaka ile ya sitini? kumbuka kile kilikuwa ni kipindi cha propaganda za who's got the biggest ...

walitudanganya, hamna aliye kwenda mwezini. Zile picha walizipiga zina mapungufu mengi sana
 
Yote uliyosema ni sahihi ila hapo nina wasiwasi nako. kama kweli walikanyaga mwezi imewashinda nini kurudi baada ya miaka 50 wakati tekinolojia umeendela sana kuliko miaka ile ya sitini? kumbuka kile kilikuwa ni kipindi cha propaganda za who's got the biggest ...
Kwahiyo ina maana ilikuwa fix tu HAWAKWENDA WALA NN?
 
Boeing...baba lao! akifuatiwa na lockheed martin.Ila nadhani wachina wako poa kwenye baiskeli(flying pigeon)
 
Back
Top Bottom