USA, Japan, German, and China ipi iko mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia?

Many believe the USA to be the most
tech savvy country, NASA, USA has
space crafts on mars, spacecrafts that
have circled every planet in our solar
system, Hubble telescope that has
given the clearest images ever of the universe, space craft that landed on an
asteroid, they put men on the moon,
computer software, Intel, to name a
few advances, those who say many of
the military tech USA has is not made in
America, that is simply not true, Nothing to be proud of but USA is the
largest supplier of military equipment
in the world . It took over twenty
countries of the European Union to
equal Boeing Aircraft makers,
Lockheed Martin makes the most advanced weapons on earth, not to
mention tanks, aircraft carriers and so
much more that are made in USA,
global position System so many things
we use. America is also the most
powerfull and richest country in the world.
 
1. USA - In nearlly all fields
2. Japan - In Electrical and Electronics
fields
3. Germany - Industrial and Surgical
and Medical Fields
4. England - Industrial, Research and Developement in all fields
5. France - Industrial and Nuclear
research
6. Italy - In automation and
Industrial fields
7. Russia - In Electrical and Mechanical Industrial fields,
Aerodynamics
8. Sweden - In Industrial and Military
research fields
9. China - In all Fields R&D is going
on 10. Australia - In Industrial fields and
Medical,surgical fields.
 
Naomba niongeze au nitofatiane na wewe sehemu chache
1. USA - In nearlly all fields
2. Japan - In Electrical and Electronics
fields

Hivi hawa jamaa wajapan wangeamua kuwekeza kwenye military ingekuwaje? Ndo maana wamerekani waliingia nao mkataba wa kuwalinda na wao wasiwekeze sana kwenye Jeshi. Bcs wangetisha . USA anajua hilo

4. England - Industrial, Research and Developement in all fields
Industry ya england ni history tu wakati mambo ya indusrila revolution. Most industry za endland kwa sasa ni branch tu za japan, US au nchi nyingine

7. Russia - In Electrical and Mechanical Industrial fields,Aerodynamics
What about space.? Waht about military? na aviation. Ndege kubwa inayobeba auzito mkubwa zaidi ni Antonov. Nadhaniha silaha kama AK47 na kashalanov origin yake ni russia.

8. Sweden - In Industrial and Military research fields
No hapa sikubaliani na wewe sweeden ni among the so called neutral contries haiwezi kuwa developed kwenye mambo ya military. Haina bajeti kubwa wayaoweka kwenye mambo ya jeshi.

10. Australia - In Industrial fields and
Medical,surgical fields.
Hawa nao ni kama waingereza tu hawana cha ajabu. what they have ni better enviroment ya kuwekeza investment . Cha zaidi walichnachono may be ni teknolojia za Mining na same apply to canada

Wataalam wengi wa fani mbali mbali wa UK, Canada au Autralia na hata US unaweza ukutuka ni wahindi. So ingawa India haitajwi infact wana wataalam wengi kwenye kuwezesha hizi nchi so called developed world. Same applie to Israel. Haitajwi lakini mambo ya logistic military na communication waisrael wanatisha.
 
Naomba niongeze au nitofatiane na wewe sehemu chache

Wataalam wengi wa fani mbali mbali wa UK, Canada au Autralia na hata US unaweza ukutuka ni wahindi. So ingawa India haitajwi infact wana wataalam wengi kwenye kuwezesha hizi nchi so called developed world. Same applie to Israel. Haitajwi lakini mambo ya logistic military na communication waisrael wanatisha.

reasonable arguments....lets hear 4rm others!
 
mchina.. bado ana develop .. hajawafikia japan.. wala USA.. even though miaka 10-15 anaweza akamfikia
 
Tanzania inaongoza kwa umbea, majungu na ushirikina. Maendelei ya kisayansi is non of our business
 
Naomba niongeze au nitofatiane na wewe sehemu chache

Wataalam wengi wa fani mbali mbali wa UK, Canada au Autralia na hata US unaweza ukutuka ni wahindi. So ingawa India haitajwi infact wana wataalam wengi kwenye kuwezesha hizi nchi so called developed world. Same applie to Israel. Haitajwi lakini mambo ya logistic military na communication waisrael wanatisha.

Nadhani swali halikuwa watu wa asili ya nchi gani ndiyo wanatisha. Swali ni nchi gani. Hivyo haijalishi ni akina nani wanafanya mambo hayo lakini kubwa ni kuwa ni US ndiyo inaongoza kwa technology. Ni kweli wahindi wako juu (hata CEO wa Adobe Systems Inc. Shantanu Narayen ni Mhindi kwa asili) lakini US inaundwa na watu mchanganyiko, Asili ya Schwarzenegger, Van Damme, Obama ni wapi? Suala la Israel kutotajwa husemwa wakati mwingine kwa kuishabikia japo ni kweli inafanya vizuri pia ila si kwa kiwango tunachokisikia mtaani.

Umehoji kuhusu space na Military juu Russia kuwa ignored. Umetaja Kalashnikov, vipi kuhusu LM6 ya US? Umetaja ndege ibabebayo mzigo mzito zaidi ya Russia vipi kuhusu kasi ya Lockheed Blackbird ya Lockheed Martin ya US? Kuhusu Space naipongeza Urusi, Mwanamme wa kwanza kuruka anga za mbali ni Yuri Gagarin wa Urusi (tarehe 12 April, 2011 tulikumbuka miaka 50 tangu afanye hivyo, actually siku hiyo tulikumbuka miaka 27 tangu kifo cha Sokoine), Mwanamke wa kwanza kuruka anga za mbali ni Valentina Tereshkova (Mrusi). Hata hivyo binadamu wa kwanza kukanyaga uso wa mwezi ni Neil Amstrong wa US. Urusi imepungua sana nguvu katika Astronomy nadhani sababu ya uchumi.
 
mchina.. bado ana develop .. hajawafikia japan.. wala USA.. even though miaka 10-15 anaweza akamfikia

Miaka 10-20 ni michache Mkuu, kasi tuionayo ya China ni Uchumi na si Sci & Tech (Kasi ya China kama taifa kiuchumi ni kubwa kuliko kasi ya hiyo hiyo China katika Sci & Tech).
 
Back
Top Bottom