Tennis naipenda ikiwa pamoja na michezo mengine kama boxing,football and Wrestling.Tennis kuna players nawapenda sana na huwa nasikitika wanapochapwa..Binafsi namkubali sana Federer na william's sisters wanacheza tennis nzuri ila kila mchezo una zama zake na umri ni moja ya vitu vinavyokuja pasipo jitihada...so watapita na kuja new generation ila mapenzi yangu kwenye tennis yataendelea kubakiMbelgiji Clijsters anatisha, anaweza kushinda kwenye final!..
Senator, inaelekea unapenda sana Tennis?!!!!!..Asante kwa pics,very interesting!!!:smile-big:
Nafikiri itakuwa final nzuri sana, maana Zvonareva yuko fast na ana shots nzuri pia.
5-5 all ver tough game hii na imechukua muda kweli..hii itamsaidia Nadal kesho kuchukua ubingwa ki ulaini kwa uchovu wa game yao!